Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Hakuna uchawiii
 
Ukihudhulia ibada,utabarikiwa,, utapata hela,magari,kazi, nyumba etc
 
CCM itakua chama tawala kwa miaka mingi ijayo.
 
Etii demu ukimgonga kwa nguvu ndio atokuachaa!!!!!!!
 
Hakuna kitu kama hicho...yani maneno yakuponueshe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli waafrica ipoo shidaa
Huyo aliekuombe akipata homa tu unamkuta kwenye foleni za mloganzila
Siyo maneno yanayoponesha,ni nguvu kutoka kwa anayeombwa ,yeye ndoa aponyeshaye
 
Neno Krismas (X-mas) na krismas yenyewe. Ni uongo mtupu, lkn watu wengi wana uamini.
 
Yesu ni mungu...lakini inajulikana wazi Yesu yeye si Mungu... wala mwana wa Mungu..
Mungu ana nafsi tatu,
Mungu Baba
Mungu Mwana
Mungu Roho Mtakatifu

Baba si Mwana,
Baba si Roho Mtakatifu,
Mwana si Roho mtakatifu.

Baba Ni Mungu
Mwana ni Mungu
Roho Mtakatifu ni Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…