StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Ungesoma shule niliyosoma O level au kijiji nilichozaliwa ungepata picha barabara kabisa.Hata hivyo uwepo wa uchawi ni jambo moja na kuwa mchawi ni jambo jingineHakuna uchawi wewe. Kama upo, thibitisha.
Nguvu za Giza znaweza kufanya mtu akaonekana ana dalili zote za HIV, lakini akipimwa yupo negative au mtu mguu unavimba au kichwa kuuma lakin akienda hospital wanashndwa kujua tatzoNguvu za giza zipoje?? Ugonjwa gani unatokana na nguvu za giza?
Uchawi haupo. Kama upo, thibitisha.Ungesoma shule niliyosoma O level au kijiji nilichozaliwa ungepata picha barabara kabisa.Hata hivyo uwepo wa uchawi ni jambo moja na kuwa mchawi ni jambo jingine
Shida ni kwamba mimi sio mchawi.Kama kuna mchawi humu anaweza kujitolea kukufanyia tukio ili nafsi yako iridhie kwamba kweli uchawi upo.Uchawi haupo. Kama upo, thibitisha.
Period.
Sio kwamba vipimo vya hospital zenu vina walakin??Nguvu za Giza znaweza kufanya mtu akaonekana ana dalili zote za HIV, lakini akipimwa yupo negative au mtu mguu unavimba au kichwa kuuma lakin akienda hospital wanashndwa kujua tatzo
Tafuta kilichokuponya sio maombi mkuu...Kama unabishana na mimi niliyekuwa mgonjwa.basi tena sikuwezi
Hata saizi hapa saizi naona Simba anazaa,mvua inanyesha najua linapiga.....nafanya jitihada kujua ni mbuga gani hukoMvua ikinyesha na Jua kuchomoza kwa wakati mmoja Simba anazaa
Hakuna lolote!Shida ni kwamba mimi sio mchawi.Kama kuna mchawi humu anaweza kujitolea kukufanyia tukio ili nafsi yako iridhie kwamba kweli uchawi upo.
Haa haa haaKushika pumbu kunazuia mashambulizi ya timu kwenye mchezo wa mpira
Ufunguo una matumizi mawili kufungua na kufunga,ukiona unaelimu alafu haujafanikiwa kimaisha basi ujue uliitumia funguo yako kufungia maisha sio kufunguliaEt elimu ndio ufunguo wa maisha.
Ukitaka kuamini uchawi upo ni pale unapomtaka demu fulani unahangaika kumuomba mtoke mnatoka anatumia hela yako yote ya vikoba mnaagana ndio unaanza kukumbuka kwamba kumbe hela imekata,huo ndio uchawiUpo Mimi na wewe tuna interact hapa bila kuonana sio uchawi huu[emoji23][emoji23]
Mkuu hapo namba 1 nami huwa sielewi kwa nn ukitia kizibo povu linatoka kwa fujo. Nikajua ile ni gesi yenyewe[emoji1787]
Mtume mwamedi au mo alishushiwa msahafuYesu ni mungu...lakini inajulikana wazi Yesu yeye si Mungu... wala mwana wa Mungu..
Kumshaaishi demu avue chupi umgonge na ukamgonga ni zaidi ya uchawiUkitaka kuamini uchawi upo ni pale unapomtaka demu fulani unahangaika kumuomba mtoke mnatoka anatumia hela yako yote ya vikoba mnaagana ndio unaanza kukumbuka kwamba kumbe hela imekata,huo ndio uchawi
Kama hujawai ombewa ukapona unapata wapi nguvu ya kupinga? thibitisha kwanzaUkimwombea mgonjwa anapona
Huu ujinga asilimia kubwa sana wanaamini