Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Kisichopo kinathibitishwaje?
Sasa kama huna idea ya kufanya uchunguzi zaidi yakutegemea uthibitisho na hujachunguza chochote kuhusu uchawi unapata wapi nguvu yakukipinga kitu hicho?

upo jf unategemea uthibitisho gani tukupe?
 
Maombi hayatibu chochote ni kupigiana kelele tu na hao wachumia tumbo
 
WASUKUMA NI WASHAMBA (ilhali watu washamba wako kwenye kila kabila. Halafu kimaendeleo Wasukuma wanayazidi makabila mengi tu kwa maendeleo, kuchapa kazi, ustaarabu/utu wema, n.k).
 
Sasa kama huna idea ya kufanya uchunguzi zaidi yakutegemea uthibitisho na hujachunguza chochote kuhusu uchawi unapata wapi nguvu yakukipinga kitu hicho?

upo jf unategemea uthibitisho gani tukupe?
Longolongo tu!

Hakuna uchawi.
 
Millioni 10 pesa ya mboga. Sema alinchosha yule bibi
 
Kawaida msumari hutokea pale pale ulipoungilia,

Biological or Chemical diseases can only be cured Biologically or Chemically. There are no proof that the above diseases can be cured with other means including Spiritual means.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…