Hahahah ila Utd mna mambo.
Haha hata yeye nahisi ni nyumbu maana toka ifungwe final, simuoni.Asije akajichanganya shauri yake
Man U forever ππDah sawa bwana Cousin πππ
Na bado mpaka mseme πHahahah ila Utd mna mambo.
SanaHahahah ila Utd mna mambo.
Mlitucheka arsenal tumekosa makombe yote nyinyi la kwenu liko wapi ππMan U forever ππ
Kuhusu hilo siwezi sema chochote mpaka mwanasheria wangu aje Mpaji MunguMlitucheka arsenal tumekosa makombe yote nyinyi la kwenu liko wapi ππ
Utd kombe wanaloweza kubeba ni la kombe la uji tu.Mlitucheka arsenal tumekosa makombe yote nyinyi la kwenu liko wapi
Wewe nawe utakuwa arsenal tuUtd kombe wanaloweza kubeba ni la kombe la uji tu.
Ahadi namba 1 ya mwanaCCM inasema "binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja".... kwa hiyo Lucas Mwashambwa na wewe ni ndugu zangu. Hata kina CHIEF PRIEST , Erythrocyte , Mshana Jr , Lord denning , Salary Slip , cocastic ... ni ndugu zangu.
Haha siwezi kuwa hao kengeWewe nawe utakuwa arsenal tu
Duh arsenal kawa kenge tena mi nilidhani tupo wote kumshambulia man u,π²π²π²Haha siwezi kuwa hao kenge
Yaan huyo lazima atakuwa ni yale matakataka uliyosema kule juu πDuh arsenal kawa kenge tena mi nilidhani tupo wote kumshambulia man u,π²π²π²
Itakuwa ππYaan huyo lazima atakuwa ni yale matakataka uliyosema kule juu π
Maana nyie ndiyo huwa mnateseka sana kuhusu Man U apo ukichanganya na livakuku πππItakuwa ππ
Haha tupo wote kwenye kumponda nyumbu ila me sio Gooner japo namkubali Saliba, Saka, Skelly.Duh arsenal kawa kenge tena mi nilidhani tupo wote kumshambulia man u,
Livakuku wamebahatisha msimu huu ngoja chama la kibabe tukajipange msimu ujao mtakuwa mnatuchungulia tu sisi tuko mbeleππMaana nyie ndiyo huwa mnateseka sana kuhusu Man U apo ukichanganya na livakuku πππ
kaa kimya siku hz sheria sio msumenoKuhusu hilo siwezi sema chochote mpaka mwanasheria wangu aje Mpaji Mungu