Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Ng'ombe na mbuziKumbe natakiwa nije na sukari, unikubalie jambo fulani😁👋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ng'ombe na mbuziKumbe natakiwa nije na sukari, unikubalie jambo fulani😁👋
NyamweziKwetu ukienda kununua chumvi baada ya jua kuzama ukisemwa unaimba chumvi hupewi; unatakiwa kusema Dawa ya Mboga ndipo utauziwa.
Wapi huko?Kijijini kwetu kama ww mgeni ikifika saa mbili ucku huruhusiwi kutoka nje ukitoka imekula kwako.
Asanten San🙏
Some where in rukwaWapi huko?
Uko sahihi mkuu,nina jamaa yangu yuko Kwa wamasai huko "Cultural Anthropology"Nimeipenda sana mada yako na huu uzi tukiutumia vizuri una fada kubwa sana kijamii.
Hili ni somo ambalo watu wanachukuwa mpaka PhD lipo kwenye "anthropology".
Huko ni kwa wenyewe, wenye giza laoSome where in rukwa
Wewe mdigo ,mzaramo, mkwere au msengeju.kwetu
ukifagia usiku ndani usitupe matakataka nje yaache kwenye kona ya mlango utamwaga asbh
ukifagiwa uwanja hakikisha umezoa mataka unavyoacha kuku akayachakua ndio riziki yako itakavyokua utaikisanya usijue imeenda wapi
ni mwiko mjamzto kukaa kizingitini akiwa leba mtoto atakwama
mjamzito haruhusiwi kuchungulia nje akiwa ndani mtoto atakua anachungulia na kurud wakat wa kuzaliwa
siku ya harusi mume hupikia pishi maalum huitwa kombe, linakua kama n pilau chini kunawekwa kisosi na nyama tele ila ubwabwa wa moto sana sasa bwana harusi anatakiwa aingize mkono bila kutoa akitoe hiko kisos kupimwa urijali wake
mama yako akikusemea maneno ya kukulaani huyaondoa kwa kuchota maj kwenye kata kopo lenye mkono wa kushikia akiyaonda huku umempa mgongo ukiwa umesimama kizingitini kisha anakumwagia hayo maji mgongo tena ukitoka ukae nje dk kadhaa ndipo uingie inaaminika hiolaana ameivunja
ni mwiko kuvaa nusu uchi kwa mwanamke au msichana ambaye hajaolewa utavaa hivyo kwa mumeo
ni mwiko kusonga ugali ile sufuria ikawa inatoa sauti haitakiw
Eti kutokea bukira kwa kina hecheWakuria ukoo wa wakira.
1. Mwanamke haruhusiwi kupanda juu ya nyumba kuezeka. Hata kama mumewe alishafariki anatafuta wanaume wamuezekee.
2. Ni marufuku kukata au kuharibu mti wenye matunda ambao tayari umezaa matunda(una matunda kwa muda huo)
3. Kuwapiga wazazi laana yake sio ya dunia hii na haisafishiki hata kwa damu.
4. Ni marufuku mwanaume uliyeoa kulala upande wa ukutani. Hii Mara nyingi ni ikiwa kuna dharura basi usimvuke mkeo(familia) kwani huenda hutarudi salama.
5. Ukiwa umetengewa chakula na mkeo,Mara ghafla yowe,mwano au nduru kuashiria hatari kweny jamii basi innashauriwa uonje japo kidogo kutia suna.. Usiache chakula bila kukigusa....ni mkosi.
6. Mwanaume uliyeoa ni lazima uwe na silaha yoyote ndani sime au panga.
Kwa sasa ni hayo kutokea sirari border
Yes. Mambo ni bambam.Wakuria ukoo wa wakira.

Mate si yatakuwa mengi sana yani kwasiku nzima utakaukiwa majiUmasaini au mila za kimasai kutema mate kwa mwenzio ni kawaida
Kwa mfano kama mnataka kusalimiana unatemea mate mkono ndio unampa mwenzio mkono hii ni moja ya heshima
Hii ni kwa marafiki
Pia wazee watawatemea watoto waliozaliwa kwenye paji la uso kuwapa Baraka
Na kina baba watawatemea watoto wao wa kike kichwani sio ya ndoa kuwapa Baraka na upendo
Kwenye Ukoo wetu Dipii Weldi ni laanaNimeipenda sana mada yako na huu uzi tukiutumia vizuri una fada kubwa sana kijamii.
Hili ni somo ambalo watu wanachukuwa mpaka PhD lipo kwenye "anthropology".
Kweli tunatifautiana,kwetu wanalia sana usiku na wala hakuna miiko.Usiku mnyama komba akilia kama una mtoto mdogo lazima uamke umshike sikio mtoto
Umeongea kiutuzima zaidi .... kumbe uke una mfano wa sufuria na hamsemi sisi tuna hangaika kuikomeshasufuria ni uke wako mwiko ni mboo, maana yake huwez ukatombwa ukamaliza bila kusafisha mboo ya bwana, hongera umeandalia vizur, speaking from my experience.
hahahahahaa mtajichosha ile ni elasticUmeongea kiutuzima zaidi .... kumbe uke una mfano wa sufuria na hamsemi sisi tuna hangaika kuikomesha
Vilaza hamna uwezo WA kuoa akili kubwa,mnajijua so lazma muoane vilaza kwa vilazaKwenye ukoo wetu
1. Mwiko kuoa mchaga
2. Mwiko kuzaa nje ya ndoa
3. Mwiko kuvuta bangi, waliovuta wote ni machizi sasa hivi
Kwetu Nyamongo ukiikosea jamii wanaokota mawe wanakuja kutupa nyumbani kwako .......hii inaitwa "kumtupia mtu mawe". Wakifanya hivyo wanakuwa wamekumaliza wewe na vizazi vyako vyote.....kamwe huji kupata maendeleo wala kuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha.....unakuwa "written off". Usiombe jamii ikakutupia mawe.Kwetu kumuua CHATU ni bora uue mifugo yote. NI mwiko hata kumuona amekufa
Kwetu ukichoma nyumba ni lazima ufanyiwe mambo flani