Taja mwiko, mila au desturi za kabila lenu au mahali ulipokulia

1. Ni mwiko kupita katikati ya watu waliosimama au kukaa.
2. Hairuhusiwi kulala ukweni japo kwa usiku mmoja. Leo tunaenda ukweni na kufunga taulo kabisa wiki mbili..dah.
3. Mwiko kula kabla ya watu wazima..
 
Nimeipenda sana mada yako na huu uzi tukiutumia vizuri una fada kubwa sana kijamii.

Hili ni somo ambalo watu wanachukuwa mpaka PhD lipo kwenye "anthropology".
Uko sahihi mkuu,nina jamaa yangu yuko Kwa wamasai huko "Cultural Anthropology"
 
Wewe mdigo ,mzaramo, mkwere au msengeju.
 
Eti kutokea bukira kwa kina heche
 
Yes. Mambo ni bambam.

Ukisikia yowe inapigwa ukiwa juu ya paa ya nyumba unaezeka, usishuke na wala usiende huko kwenye yowe. Ukienda linaweza kukukuta balaa hutasahau.

Siku moja ilipigwa yowe watu wakiwa wanafuatilia wezi wa ng'ombe. Jamaa mmoja aliyekuwa juu ya paa anaezeka, akashuka na kwenda kusaidia kufuata nyayo za wezi. Alipofika kule watu wakamfananisha na mwizi wakaanza kumpiga.

Kaka yake asingekuwepo aingilie kati, huenda wafuata nyayo wangemuua. Hii ni kutoka Ntimaru (Kenya) mpakani mwa Kenya na Tanzania.
 
Mate si yatakuwa mengi sana yani kwasiku nzima utakaukiwa maji
 
sufuria ni uke wako mwiko ni mboo, maana yake huwez ukatombwa ukamaliza bila kusafisha mboo ya bwana, hongera umeandalia vizur, speaking from my experience.
Umeongea kiutuzima zaidi .... kumbe uke una mfano wa sufuria na hamsemi sisi tuna hangaika kuikomesha
 
Kwenye ukoo wetu
1. Mwiko kuoa mchaga
2. Mwiko kuzaa nje ya ndoa
3. Mwiko kuvuta bangi, waliovuta wote ni machizi sasa hivi
Vilaza hamna uwezo WA kuoa akili kubwa,mnajijua so lazma muoane vilaza kwa vilaza
Kama watu wazito kina mkapa,sumaye,bomani,mwigulu,kitila,januar makamba,NK wameoa uchagan sembuse nyie vilaza?
 
Kwetu kumuua CHATU ni bora uue mifugo yote. NI mwiko hata kumuona amekufa

Kwetu ukichoma nyumba ni lazima ufanyiwe mambo flani
Kwetu Nyamongo ukiikosea jamii wanaokota mawe wanakuja kutupa nyumbani kwako .......hii inaitwa "kumtupia mtu mawe". Wakifanya hivyo wanakuwa wamekumaliza wewe na vizazi vyako vyote.....kamwe huji kupata maendeleo wala kuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha.....unakuwa "written off". Usiombe jamii ikakutupia mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…