Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

hiv hizi sample mnazitoa wap? yan unia,bie hiv hapo hapo utaomba tuachane. yan ashindwe kumjengea baba yako mm ndio niweze
Viumbe Hawa ndivyo walivyo[emoji23][emoji23]

Waulize wachaga[emoji23][emoji23]
 
Wanawake hawana huruma......unakuta mzee homa imemchapa kalala......maza anaenda kumuuliza

....leo tunakula nini[emoji23][emoji23]????
Ndo raha ya uanaume huo unapambana hata ukiwa kitandani hahahaah
 
Salaaam magreat thinkers

Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa)

1. Tuliosingle tunajiamini, watu waliosingle wanajiamini kila idara kutokana na uzoefu wa kukwepa mitego kadha wa kadha kutoka kwa wadada mfano.....hizi kelele za tozo huwezi kuzisikia kwasisi tulio single

2: Ni wazee wa kuspend, kumwagilia mioyo: ni ngumu mtu aliyesingle kumkuta anajibana kimatumizi always tuna ile kauli ya tumia pesa ikuzoee......lazima tumwagilie moyo

3. Waliosingle ni handsome..that's y ni wagumu kudate ....ili kuepuka kusambaza species zenye mionekano kama yao

Ongezea faida walizo nazo watu waliosingle( only positive )
..............View attachment 2346407
Aisee, hii ni logic gani sasa!!? Wenye ndoa hawana cha kujifunza kutoka kwa masingle. Ama hujui mtu mwenye ndoa alianza kwanza kama single? Wewe ndio unapaswa ujifunze kwa walio kwenye ndoa utoe tongotongo
 
Salaaam magreat thinkers

Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa)
Wewe uliye singo hujui ya aliyeoa. Aliyeoa alikuwa singo kwanza kabla ya kuoa. Hivyo anayafahamu ya pande zote mbili. Yeye ndiye anaweza kusema kwa kuaminika mazuri ya kuwa singo na ya kuoa. Wewe unadhania tu kwamba kuwa singo ndio kuzuri kwa kuwa huyafahamu ya kuoa.
 
😂
Screenshot_2022_0906_131013~2.jpg
 
Wewe uliye singo hujui ya aliyeoa. Aliyeoa alikuwa singo kwanza kabla ya kuoa. Hivyo anayafahamu ya pande zote mbili. Yeye ndiye anaweza kusema kwa kuaminika mazuri ya kuwa singo na ya kuoa. Wewe unadhania tu kwamba kuwa singo ndio kuzuri kwa kuwa huyafahamu ya kuoa.
Mkuu....Mara nyingi walio oa ndiyo wanaoongoza kwa kulia lia
 
Hapo unawaza ngono tu! Ukikua utanielewa tu!

Hakuna kitu na enjoy kama kuwa na wanangu wa 2 dining na mke kwenye nyumba yetu akituandalia chakula!

Ngono ni sehemu ndogo sana ya ndoa
Duuuuh lkn umewahi kufuatilia nyumba nyingi....zimefiwa na wanaume .......unajua kwnn
 
Back
Top Bottom