Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Mimi nakua over confident kwamba kila jambo ninalofanya linafanikiwa.
Naweza kukuahidi kitu ambacho sina na ninakuhakikishia kabisa.
Mademu zangu wanakoma yaani sijui kusema no.
“Baby naomba nisaidie milioni 4”.
I be like okay, check me up on sunday. Hata sijui kwa kuipata hio milioni 4
😂😂😂
Hio tabia imekua sugu
 
Tabia ya kuwaamini watu na kuwa na huruma ya kupitiliza badala yake wanaharibia mambo yangu mengi. Kwa kweli hii tabia sijui taicha lini. Kuna kipindi nilipokea mtu anashida kweli kweli kwao hawana kitu baba hayupo mama anamtegemea yeye ikabidi niwe nafanya nae kazi shambani kwangu huku nampa viposho vya kusaidia familia yake yaani mama yake.

Mara ya kwanza alikuwa mtiifu sana na alikuwa anakuja shamba kwa wakati. Alipoanza kuzoea akaanza kuchelewa akaanza kuja kazini amelewa nikamwambia aache tu kazi akasema sawa nikampa hela kidogo alizokuwa ananidai tukaachana mbele ya mwenyekiti wa mtaa. Hazikupita siku tatu akatuma sms akaomba msamaha akasema bro nisamehe zile zilikuwa ni pombe mimi nkamwambia siwezi kufanya kazi na mlevi akasema ataacha pombe nikamwambia sawa njoo. Akaanza kupiga kazi nampa hela yake anasepa haikupita wiki moja akarudia pombe akawa hafanyi kazi nikamtimua. Akaondoka baada ya siku mbili akanitumia sms ananidai nikamwambia kijna unanidai shilingi ngapi, akasema elf 20 ikabidi nimpigie simu nimuulize kama kweli ananidai isije ikawa mtu katumia simu yake, akapokea simu akiwa amelewa nikamwambia subiri pombe iishe kesho ndio unipigie, kesho yake hakunitafuta.

Akakaa siku kama tatu hivi akanitumia sms akasema bro nakudai elf 10 mimi nikanwambia kijana naona unanisumbua akasema sawa, baada ya dakika chache nikapigiwa simu kituo cha polisi nikafika, kufika namkuta dogo amekaa amelewa chakari, polisi wakauliza unamjua huyu nikasema yes, wakasama anakudai shilingi ngapi nikasema hanidai na tuliachane naye kwa amani mbele ya viongozi wa mtaa tena wakishuhudia, police wakasema mpe laki moja na nusu yake anayekudai loooooh! Nilistaajabu sana nilimtazima yule dogo na jinsi alivyokuwa amelewa aliwezaje kuwashawishi wale polisi kuwa ananidai laki na nusu nao wakaamini. Nilichokifanya niliwaambia polisi ngoja nimpigie kiongozi wa mtaa aje aamue hili swala maana yeye anajua A to Z wakasema hawataki huo ushahidi pale sio mahakamani. Wakasema kama hutotoa hiyo hela tutakuweka ndani kisha kesho muende mahakamani. Nikasema kwa heshima niliyojijengea hapa mtaani siwezi kwenda mahakamani kupiginia kesi ya laki na nusu, kwa heshima pia ya kazi yangu siwezi kwenda mahakamani sio kwamba siwezi kulala ndani ila talalaje ndani kwa kesi ya namna hii.

Nikasema kwa kuwa kuna mazingira ambayo sijayaelewa elewa na kwa kuwa mimi bado natafuta hela na hii ni ajali katika utafutaji, hiyo hela nitaitoa yaliyobaki namwachia Mungu aamue. Niliitoa ile hela yote nikaagana nao nakuwatakia kila lakheri nikaondoka. Nikipata muda tawaletea case ya pili ambaye nimeshatabiri inaweza kutokea the same kama hii bado nafuatilia situation kwa karibu.
 
Nifuate na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kutokuwa serious yaani muda mwingi natamani kuwa serious lakini ni ngumu. Hata iwe kwa jambo la serious kiasi gani.

Imefikia kipindi hata napotoa wazo huwa wanaona funny ila mpaka wakae kwa mda wafikilie tena.

Hii sasa imekua changamoto mpaka kwenye mahusiano maana mtu anashindwa kujua nipo serious na mahusiano au nafanya utani.
sijui itaachana nayo vipi'...?
Nimejaribu ila nashindwa narudi pale pale.

Mbele za watu hata niseme niwe serious kiasi gani, basi kila nacho kiongea kinapokelewa tofauti
Watacheka tuu.

haijawahi tokea nikaongea mbele za watu dakika chini ya dakika 3 wasicheke.

Na sio kwamba nayoongea yanachekesha hapana.. au nina muonekano wa kuchekesha hapana.. au lafudhi hapana.

Zamani nilikua napenda ila.kwa sas naichukia hii hali maana kuna sehemu naona tafeli [emoji851][emoji851][emoji119]
Wewe ndo Mimi sasa.
 
Kisusio?
Sijawahi kuonja.

Nyama nakula kuliko.

Bro, ukali ni asili ya jamii yangu.
Ni watu wapole mnoo, muinekano wa kitumishi/pastor...materisl🤣🤣🤣🤣

Lakini ukifanikiwa kumchokoza akachokozeka.....wewe kimbia tu
Mnakula sana nyama🤣🤣
 
Hasira, kwangu hili tatizo linanisumbua sana natamani kuwa mtulivu hata kwenye wakati mgumu ila nikishakuwa na hasira nakuwa mtu tofauti kabisa
Hasira, kwangu hili tatizo linanisumbua sana natamani kuwa mtulivu hata kwenye wakati mgumu ila nikishakuwa na hasira nakuwa mtu tofauti kabisa 😒
Kuwa na hasira kuna sababishwa na mambo mengi. Mengine natural,mengine artificial,,,sas tafakari which is which hapo, then pick a solution.
 
Kuwa msiri kupindukia aseee nakua private sana ,na sio kwamba nafanya makusudi nakiri sasa inaaffect hadi mahusiano yangu yaan jambo nakuja kushtuka baadae kwamba daah asee hapa nilitakiwa kumshirikisha fulani walau ajue na aelewe !! Yaani baada ya kutatua changamoto ninayokua nayo ndo naweza kusema au mtu aone ndo aniulize !! Najaribu kuirekebisha lakini sasa bado kipengele naelekea kwenye taasis ya ndoa inataka uwazi
 
Kushindwa kujiexpress iwe ni kwenye interview au tu kuongea na watu wapya, kutokana na kuwa nina hofu ninapointeract na watu sijui inaletwa na nini plus kusweat kama kote, pia naweza nisielewe nilichoulizwa hali inayopelekea nishindwe kutoa jibu sahihi hivyo kukosa nafasi mbalimbali
 
Ule ujumbe ulionipa siku ile ukurudie na wewe.
Ukali uliopitiliza.
To be honest mimi ni MKALI hadi najiogopa.

Ninapokasirika hakuna mtu huwa na nguvu mbele yangu.

Ni vigumu sana kunikasirisha au kuniona nimekasirika katika maisha halisi.

Lakini nikikasirika huwa hapatoshi.

Hasira zimenitia hasara kadhaa but nashindwa kuziacha.

Eee Mungu nisaidie mimi
 
Nifuate na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kutokuwa serious yaani muda mwingi natamani kuwa serious lakini ni ngumu. Hata iwe kwa jambo la serious kiasi gani.

Imefikia kipindi hata napotoa wazo huwa wanaona funny ila mpaka wakae kwa mda wafikilie tena.

Hii sasa imekua changamoto mpaka kwenye mahusiano maana mtu anashindwa kujua nipo serious na mahusiano au nafanya utani.
sijui itaachana nayo vipi'...?
Nimejaribu ila nashindwa narudi pale pale.

Mbele za watu hata niseme niwe serious kiasi gani, basi kila nacho kiongea kinapokelewa tofauti
Watacheka tuu.

haijawahi tokea nikaongea mbele za watu dakika chini ya dakika 3 wasicheke.

Na sio kwamba nayoongea yanachekesha hapana.. au nina muonekano wa kuchekesha hapana.. au lafudhi hapana.

Zamani nilikua napenda ila.kwa sas naichukia hii hali maana kuna sehemu naona tafeli 🤓🤓🙌
😂😂Naielewa hiii .....cha misingi jitrain kuwa serious Mda wa muhim alafu usipende attention (Mfano ujua ukiongea afu ukamawangalia mtu X lazima tu atacheka mkwepe ila kuwa serious) mdogo mdogo mbona wataelewa tu

Sema ushajiwekea dhana huwezi kubadilika .....mabadiliko hutokea ndani ya mtu na huaanza taratibu taratibu
 
😂😂Naielewa hiii .....cha misingi jitrain kuwa serious Mda wa muhim alafu usipende attention (Mfano ujua ukiongea afu ukamawangalia mtu X lazima tu atacheka mkwepe ila kuwa serious) mdogo mdogo mbona wataelewa tu

Sema ushajiwekea dhana huwezi kubadilika .....mabadiliko hutokea ndani ya mtu na huaanza taratibu taratibu
Assume naongea na watu ambao hata siwafahamu ila at 5min tayari inakuwa funny...
Na kuongea najiamini mno...
Kuna mda wanasema mimi mswahili sana..
 
Kama bandiko linavyojieleza sisi km binadamu tunatabia binafsi au mazoea fulani ambayo sisi wenyewe hatupendezewi nayo sasa huu uzi ni wa kila mtu kutaja tabia au mazoea yk ambayo unatamani uachane nayo ila imekuwa ngumu sana.

Tafadhali kuwa muwazi huwezi jua ukasaidiwa kupitia hapahapa jamii forum

Nianze na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kukaa upweke yaani muda mwingi natamani kuwa peke yangu peke yangu mahusiano yangu mengi yanafeli sababu ya hii tabia yangu sijui itaachana nayo vipi'...?
Punyeto,kununua malaya na kuiba mali za umma.
 
😂🤣 tatizo la wengi

Mimi mtu mpaka akimess up intentionally, napanick.. nikipanick nakuwa kimya.. simsemeshi. Hata akisemesha nakosa kabisa nguvu ya kuongea, nabaki namwangalia tu 🤣🤣

Hiyo hali inaweza dumu lisaaa lizima ama nusu saa.ikikata nasahau kabisa… tunaendeleza maisha
Wewe bila shaka utakuwa pisi ya maana sana mpaka nimetamani nikujue
 
Jaribu kujenga dhana ya kujiamini.....ondoa zile negative perception KUHUSU nyuma YAKO
Kuwa na mtazamo chanya Juu ya Mbele YAKO(Jitamkie mazuri always) kuna kile kitabu cha mengi kinaitwa "I must,I can and I will" try try kufikiria chanya YAKO

Mwombe Mungu akuondolee kifungo hicho cha high,aibu na uwoga KWA imani utashinda

Jaribu kujaza kichwa chako na madini mbalimbali kama kusoma vitabu hii itakusaidia kuwa na mawazo meengi na kufanya kichwa chako fikirishi

Pia Jitahidi kufanya mazoezi unaongea pekee YAKO then unaenda KWA mtu hujamzoea au umemzoea then taratibu labdah katika jumuia au kikundi

Pia Fanya mazoezi na jichanganye na watu (Penye weng pana meeng)

Amini katika ww na mabadiliko hauanza na mtu binafsi ....
Haya ni machache yakukusaidia ndugu yangu
Kushindwa kujiexpress iwe ni kwenye interview au tu kuongea na watu wapya, kutokana na kuwa nina hofu ninapointeract na watu sijui inaletwa na nini plus kusweat kama kote, pia naweza nisielewe nilichoulizwa hali inayopelekea nishindwe kutoa jibu sahihi hivyo kukosa nafasi mmbalimba
 
Assume naongea na watu ambao hata siwafahamu ila at 5min tayari inakuwa funny...
Na kuongea najiamini mno...
Kuna mda wanasema mimi mswahili sana..
😂😂 Inawezekana pia husomi alama za nyakati kuna muda unakuwa smart kwanzia ongea mpaka vaa YAKO sasa labdah shida YAKO unaleta uswahili Mda wa ibada lazima watu wacheke badili mkuu

Hata mm nilikuwaga kama ww.....sema kuna mahali unafika watu sio wa utani kabisaa ndoo hayo maelezo yanaapply
 
Back
Top Bottom