Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Acha kutetea use.nge ww mwambie arudishe Mali ya watoto wa marehemu pale Moshi.
 
[emoji1]

Watu wa kko akili zao wanazijuwa wenyewe

Ova
 
huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Kama mliandikishiana Dhamana ya Mkopo ni Laki Moja Kwa Nyumba haka Nyumba ni ya Bilioni Mbili, iñaondoka Kwa Laki Hio!!
 
ni primi alyoce mushi mkuu co eugen mushi
Nyie shukuruni Mungu tu maana hakuna namna sasa hivi wakati mnakopa bilioni moja mlishakaa chini kujiuliza mnailipaje hiyo pesa na riba juu.

Hayo ni madhara ya RIBA hususan kama ni waislam.ALLAH ameiharamisha RIBA ana akatangaza yeyote atakaekula riba au kudeal na RIBA basi ajue ametangaza vita na yeye.

Miongoni mwa pigo la kwanza hapa duniani ni hilo la kupoteza nyumba yenu ya thamani kubwa kwa akali ya pesa. Tubuni na mumtake msamaha Mungu maana vita vyake huwa haviishi.
 
Hahaaaaaa ni kuwabomoa Tu na hard terms ili wakizingua terms ziwasulubu , [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] eti Babu yangu kafiwa na Bibi kizaa mama yake [emoji38][emoji38][emoji38]
Excuses za kipuuz
Mushi hoyeee
 
Kwa US mikopo kama hiyo inaitwa shark loans[emoji28], mbele ya sheria ni illegal mikopo kama hiyo, wapuuzi walikuwa wanachukua title ya brand new car kwa mkopo wa dola 100[emoji16], nasikia southern states bado ipo
Imefanywa Sana na Mafia akina lucky Luciano , gambino crime families na cosa nostra wengine
 
Alipokuwa anasign alikuwa amekunywa gongo au ?
 
Upuuzi mtupu mkope hela mshindwe kulipa afu mlete tuhuma za kikabila na kumshambulia mushi dawa ya deni ni kulipa na mahakama zipo Kama mnaona haki haijatendeka. Hapo awali tulikua tunakopa benki za NMB, CRDB na tunarudisha vizuri tu, millioni Mia 400/300/200/600 bwana weeeee kuna kipindi tukachukua mzigo wa M600 bwana bwana pakawa pakakucha pesa ikaenda kwene mradi gafla mradi ukawa wa dumuzi gracing period imeisha mda wa rejesho umefika gari la CRDB hili apa biashara zimestaki mambo yamegoma huku multiple loans za mtaani zinatukabili gafla TRA wakapiga faini mamilioni huku staff wakitupeleka Mahakama ya kazi gafla kitega uchumi kimoja kikafungwa na state mradi mmoja uliobaki TRA wakalock account tukajila eti pesa zipokelewe mkononi bank TRA wanazichukua kufumba na kufumbua fraud ya hatari imetokea watumishi kibao wamefoji vitabu vya risiti na watu wanahitaji huduma zao gafla tunadaiwa m126 za wadau wa chanzo kilichofungwa huku CMA kesi ikiunguruma huku barua za TRA huku madeni ya wadau. Sitosahau kutoka kua na gari nne za nguvu za kutembelea mpk kubaki na toyota escudo number A huku manyumba viwanja na mashamba tukiuza kulipa m400 huku restructuring ya loans ni 800 na vyanzo vya pesa vinasua sua nyie acheni wadau mambo yakibadilika gafla afu Mama ndio anaeendesha biashara na hayo majanga yote yapo juu yake. Tuliwahi ikimbia land cruiser ya miva tukizani ni ya CRDB hakianani tuliwaoma jamaa wabaya kwene haki yao licha ya urafiki wa mda mlefu kwene benki yao hadi tukahisi jamaa wanatuibia. Nyie acheni tuliuza mali sana kulipa madeni ya watu. Mtoa mada lipeni pesa kama hamna uzeni mali mtamuona mtu ni mbaya kwene haki yao siku zote mtu ukidai akiyao unaleta uadui.
 
Madhara ya kukopa mikopo ya Riba ni kama hayo.Riba huwa haina baraka hata kidogo na pesa ya Riba ukiichanganya kwenye biashara jua imekula kwako huwezi kufanikiwa wala kuendelea. Mwanzo unaweza kuona kuwa unafanikiwa na mambo yanaenda ila mambo yakishaanza kukugeukia utaiona hii ardhi chungu.
 
Acha kutisha watu na illusions zako za kijinga..kwa dunia ya sasa huwezi kuwa tajiri bila kwenda benki..hata huko Islamic banking ni uhuni tu..riba ni ile ile wamebadili jina tu.

Kopa kwa malengo usikope kwenda kukatika viuno kwenye vigodoro vyenu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe unamuuzia mtu nyumba alafu unampangia cha kufanya? Uza nyumba chukua pesa tembea mbele, yatakayoendelea hayakuhusu.
 
Imefanywa Sana na Mafia akina lucky Luciano , gambino crime families na cosa nostra wengine
Loan sharking ya La Cosa Nostra (American Mafia) ni tofauti. Wao huwa wanakopesha kwa riba (wenyewe huwa wanaita vig au juice), hiyo riba inalipwa kila wiki. Mfano ukikopa shs laki 1 ambayo riba yake ni 10% maana yake ni kuwa kila wiki utakuwa unalipa shs elfu 10 huku deni lako (principle) la laki 1 liko pale pale.

Tofauti nyingine ni kwamba wengi wa wakopaji huwa sio wafanyabiashara bali wacheza kamari (gamblers), ulipaji wao huwa ni wa shida. Mafiosi huwa wanahakikisha kila wiki wanakusanya riba yao huku deni likibaki pale pale. Ukipiga mahesabu baada ya wiki 10 hao loan sharks wanakuwa washarudisha laki yao. Ukizidi kuchelewa wanaendelea kula riba na deni bado liko pale pale.
 
hii ishu ya huyu jamaa kutapeli watu magorofa niliiiona hapo nyamwezi tena zilikuja fifenda 3 kumsaidia jamaa kuzuia fujo hapo zilipaki siku nzima jiulize , naskia huwa anakopesha watu ukishindwa kulipa anakuja kubeba mali zako kibabe
Dawa ya deni kulipa.
 
Mikopo ya aina hii pia hapa bongo ipo mingi tu. Unakopa milioni 5 kama riba ni laki mbilli na nusu utailipa kila mwezi mpk siku unaweza kulipa milioni 5 yote kwa pamoja. Hatari sana hii.

Sema wanaofanya hizi mambo wenyewe ni mamafia ukizingua kulipa wanamalizana na wewe wenyewe sio kusumbuana na wewe mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…