Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Yaani watu wakishindwa kwasababu ya uwezo wao mdogo ndio useme wamehongwa?Kama watakuwa wamenielewa Kaka yao basi huenda Leo kuna Mchezaji Mmoja anayekera na Misifa yake akaishia Wodi ( Wadi ) ya Mifupa au hata ICU pale Bugando Hospital.
Na nikiona tu Mabeki Wadogo zangu hawa Kelvin Yondan ( Temeke ) na Juma Nyosso ( Magomeni ) wamemuachia huyu Mkeraji aendelee Kutukera basi nitajua 'Wameshahongwa' hivyo kuanzia leo Mimi na Wao Urafiki basi na sitokuwa Kaka yao tena.
Leo nataka kumuona Yule Kelvin Yondan niliyemfundisha kupiga 'Vipepsi' vilivyoenda Shule hadi Refa haoni na Juma Nyosso Yule 'Mbabe' ambaye Refa akiwa haoni anampiga Mtu Kichwa na 'Kumghasi' Mshambuliaji hadi apate Hasira akereke, wagombane, amtoe Mchezoni na apewe Kadi Nyekundu.
Kwa wale mtakaokereka na hili ( hiki ) nanyi rejeeni ile Mechi ya Simba SC na Dodoma Jiji FC mwaka Jana ambapo kuna Timu Moja iitwayo Wapuuzi Jangwani FC iliyo chini ya Udhamini wa Janja Janja Company yenye Ofisi zake Jengo refu kiasi Posta iliwapa Pesa Wachezaji wa Dodoma Jiji FC na Maagizo ya Kuwavunja akina Sakho, Lwanga, Kanoute, Mkude, Kibu na Beki Kennedy ambapo walifanikiwa kwa 85% mpaka Simba SC ikadhoofika.
Yondani na Nyosso nivunjieni huyo FM.
Hao mabeki unaowasifia, timu yao iko nafasi ya ngapi? Yanga iko nafasi ya ngapi?
Aisee weee bwana, unakerwa sana na mafanio ya Yanga. Hiyo ni roho ya Mfalme Zumaridi na Makerubi wake ndio inakusumbua