Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
😁😁😁😁😁ila popoma kuna nati imelegea kichwani wewe.Acha Ushamba kwa Dar es Salaam ana Makazi yake Temeke na Kimara achilia mbali Uwanja wake ulioko Bunju huko mitaa siyo mbali na anakokaa Mvutaji Sigara Bwege mwenzake Haruna Moshi Boban.
Hivyo alichosema huyo Genta ni sahihi.