TAKUKURU Mwanza tafadhali kamateni na zikagueni upesi sana Simu za Mchezaji Adeyoum wa Geita Gold FC na Mratibu wa Yanga SC Bhinda

TAKUKURU Mwanza tafadhali kamateni na zikagueni upesi sana Simu za Mchezaji Adeyoum wa Geita Gold FC na Mratibu wa Yanga SC Bhinda

Mtu akikwambia wewe mwizi na wala wewe sio mwizi basi yeye ni mwizi anakuwa na wasiwasi wa kujilikana.

Sisi Simba tumshuluru sana Makonda aliidhohofisha Utopolo na alitusaidia sana sisi Simba mpaka tukachukua ubingwa mara 4 pamoja na kuonga wapinzani wetu.

Msimu huu Makonda hayupo. Pesa za kuonga zimepungua ndio maana tumewekeza kwa Marefa ila wachezaji wetu wanashindwa kutumia mwanya tunaopewa na marefa ikiwemo penalti ila kwasasa tumejiongeza kwa magolikipa na mabeki wa timu pinzani.
Ni wale wale tu msioweza kuthibitisha chochote mkiulizwa.
 
Haya sawa leteni points zenu za kimataifa muunganishe na za ligi kuu labda mtatusogelea kidogo.
 
Back
Top Bottom