Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
๐๐๐๐๐ila popoma kuna nati imelegea kichwani wewe.Acha Ushamba kwa Dar es Salaam ana Makazi yake Temeke na Kimara achilia mbali Uwanja wake ulioko Bunju huko mitaa siyo mbali na anakokaa Mvutaji Sigara Bwege mwenzake Haruna Moshi Boban.
Hivyo alichosema huyo Genta ni sahihi.
Na kinachoshangaza Jamaa sijui ana Uchawi ( Charm ) gani yaani hata akiwa amepewa BAN ila Sisi tunaomchukia hatuachi kuacha Kumsoma, Kumjadili na Kumfuatilia kuanzia Mada zake na Maoni yake katika Mada za Watu wengine.Amashakula ban tayari jamaa huwa hatobai hata wiki bila kupata ban
Naitwa Mightier a.k.a Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person na siyo Popoma sawa? Behave.....!!!!๐๐๐๐๐ila popoma kuna nati imelegea kichwani wewe.
Eti Mods wanaicha tu iote mizizi.. Kwahivyo unataka GENTAMYCINE apate Ban...!
We Bila bila ni manafiki mno, Juzi tu ametoka kumsifia kuwa anatenda haki kwa vile alisema ya kukufurahisha kuhusu Simba SC, sasa leo kwakuwa kagusa kwenye mfupa kwa kusema yenye kukuchukiza kuhusu Yanga ndo unanza kulalamika sijui Azim Dewji Center, Mwameja, mara Takukuru.
Kama ulimkubali kuwa Gentamycine ni dawa basi acha akutibu..! Huwezi acha Unafiki au Nifaq
Nilichogundua ni kwamba 95% ya JamiiForums Members tunampenda mno huyo sijui GENTAMYCINE, ila tunamchukia tu Kiunafiki labda kwa Wivu na Uswahili wetu na pengine hata matatizo yetu ya Akili tuliyonayo.Eti Mods wanaicha tu iote mizizi.. Kwahivyo unataka GENTAMYCINE apate Ban...!
We Bila bila ni manafiki mno, Juzi tu ametoka kumsifia kuwa anatenda haki kwa vile alisema ya kukufurahisha kuhusu Simba SC, sasa leo kwakuwa kagusa kwenye mfupa kwa kusema yenye kukuchukiza kuhusu Yanga ndo unanza kulalamika sijui Azim Dewji Center, Mwameja, mara Takukuru.
Kama ulimkubali kuwa Gentamycine ni dawa basi acha akutibu..! Huwezi acha Unafiki au Nifaq
๐๐๐๐Kwanini huwa unapenda kutumia ID's Mbili katika Kupambana ( Kujibizana ) na huyo GENTAMYCINE mwenye ID yake hiyo moja tu hapa JamiiForums? Hujioni una tatizo la Akili?
๐๐๐๐๐Acha Ushamba kwa Dar es Salaam ana Makazi yake Temeke na Kimara achilia mbali Uwanja wake ulioko Bunju huko mitaa siyo mbali na anakokaa Mvutaji Sigara Bwege mwenzake Haruna Moshi Boban.
Hivyo alichosema huyo Genta ni sahihi.
Na kinachoshangaza Jamaa sijui ana Uchawi ( Charm ) gani yaani hata akiwa amepewa BAN ila Sisi tunaomchukia hatuachi kuacha Kumsoma, Kumjadili na Kumfuatilia kuanzia Mada zake na Maoni yake katika Mada za Watu wengine.Ashakula umeme kama kawa kama dawa
Umerudi na id yako nyingine we bwe,ge?mods tandika na hii ban asituletee nyuzi zake za kitoto humuNa kinachoshangaza Jamaa sijui ana Uchawi ( Charm ) gani yaani hata akiwa amepewa BAN ila Sisi tunaomchukia hatuachi kuacha Kumsoma, Kumjadili na Kumfuatilia kuanzia Mada zake na Maoni yake katika Mada za Watu wengine.
Peleka upesi Ushahidi wako kuwa ID hii ni ya huyo Mtu wenu ili wajue nini cha kufanya na iwe mwanzo na mwisho kunihisi au kunifananisha na hiyo ID sawa?Umerudi na id yako nyingine we bwe,ge?mods tandika na hii ban asituletee nyuzi zake za kitoto humu
Unavhoshindwa kujua na unachotaka kupotosha watu ni pale unapodhani Mimi ni shabiki wa Yanga, hapana tena hapana kabisa. Tafuta popote utakapokuta najinasibisha na hizi timu mbili za Kariakoo. Kwanza ujue ndani ya JF Mimi ndo rafiki pekee wa Gentamycine nyie wengine mnamuita sijui Popoma sijui Nani. Lakini akiandika vizuri huwa namsifu, Ila Tabia ya kuharibia vijana wa watu image Kwa porojo tu sitakubaliana naye. Hata wewe ulipoleta Tabia ya Aina hii nilikwambia Wazi.Eti Mods wanaicha tu iote mizizi.. Kwahivyo unataka GENTAMYCINE apate Ban...!
We Bila bila ni manafiki mno, Juzi tu ametoka kumsifia kuwa anatenda haki kwa vile alisema ya kukufurahisha kuhusu Simba SC, sasa leo kwakuwa kagusa kwenye mfupa kwa kusema yenye kukuchukiza kuhusu Yanga ndo unanza kulalamika sijui Azim Dewji Center, Mwameja, mara Takukuru.
Kama ulimkubali kuwa Gentamycine ni dawa basi acha akutibu..! Huwezi acha Unafiki au Nifaq
Bado wewe mpambe Nuksi. Mnataka kuharibia vijana maisha Kwa ushabiki uchwara utafikiri mnachangia chochote kwenye soka.Wanafanya kuelewana kuuza mechi Kumbe
Huyo Ghazwat huwa ni wa kumsamehe tu wala usipate tabu mkuuUnavhoshindwa kujua na unachotaka kupotosha watu ni pale unapodhani Mimi ni shabiki wa Yanga, hapana tena hapana kabisa. Tafuta popote utakapokuta najinasibisha na hizi timu mbili za Kariakoo. Kwanza ujue ndani ya JF Mimi ndo rafiki pekee wa Gentamycine nyie wengine mnamuita sijui Popoma sijui Nani. Lakini akiandika vizuri huwa namsifu, Ila Tabia ya kuharibia vijana wa watu image Kwa porojo tu sitakubaliana naye. Hata wewe ulipoleta Tabia ya Aina hii nilikwambia Wazi.
Mimi nimefanya nini tenaaaBado wewe mpambe Nuksi. Mnataka kuharibia vijana maisha Kwa ushabiki uchwara utafikiri mnachangia chochote kwenye soka.
[emoji23][emoji23]huyo Genta aisee wewe jamร a akili zako unazijuaga mwenyeweAcha Ushamba kwa Dar es Salaam ana Makazi yake Temeke na Kimara achilia mbali Uwanja wake ulioko Bunju huko mitaa siyo mbali na anakokaa Mvutaji Sigara Bwege mwenzake Haruna Moshi Boban.
Hivyo alichosema huyo Genta ni sahihi.
Nmjua vzuri na ananiogopa sana... Mkuu, hujamjuaga tuu huyu chupli? Majina yake humu ni haya;
Gentamicin=Mightier=Diplomatic son na mengineyo nita-share baadae
Ametoroka Milembe hivi karibuni. Msameheni.Huyo hana akili mpuuze tu