Nakumbuka wewe ulikuwa Hater namba moja wa Mayele duniani, msimu ulioisha kila mechi Yanga alicheza unamsagia kunguni Mayele kwenye uzi mara ana bahatisha na chambuzi nyingine kibao kumchambua negatively .Lakini msimu huu umepoa na chambuzi zako kuhusu Mayele vipi umepewa bahasha nini tuambizane ..Ila we jamaa ndio umekosa aibu kabisa.
Yani wewe ni Mwigulu utofauti wenu utakuwa kwenye rangi ya tai tu lakini haya hamna
Sasa anakitu gani special au ni ulimbukeni wenu tu?Nakumbuka wewe ulikuwa Hater namba moja wa Mayele duniani, msimu ulioisha kila mechi Yanga alicheza unamsagia kunguni Mayele kwenye uzi mara ana bahatisha na chambuzi nyingine kibao kumchambua negatively .Lakini msimu huu umepoa na chambuzi zako kuhusu Mayele vipi umepewa bahasha nini tuambizane ..
Amekuwa gumzo Africa wachambuzi wakubwa wa Supersport ,BBC ,Canal + wote wanamzungizia Mayele kwa ukubwa sasa sijui vipi na wao malimbukeni ?Sasa anakitu gani special au ni ulimbukeni wenu tu?
Amekuwa gumzo Africa ndio nini?Amekuwa gumzo Africa wachambuzi wakubwa wa Supersport ,BBC ,Canal + wote wanamzungizia Mayele kwa ukubwa sasa sijui vipi na wao malimbukeni ?
Sifuatilii vipindi vya michezo bongo ndio maana naona kuhusu Mayele tu.Amekuwa gumzo Africa ndio nini?
Wanamzungumzia peke yake au hufatilii habari za michezo?
Kuna ajabu gani hapo kwa yeye kuzungumziwa na media za michezo wakati timu yake inashiriki hatua ya fainali?
Hufuatilii vipindi vya michezo kweli ila ungejua kwa saizi ambavyo timu zimebaki chache lazima wachambuzi watakuwa wanaziangalia timu mbili tu.Sifuatilii vipindi vya michezo bongo ndio maana naona kuhusu Mayele tu.
Gumzo maana yake amekuwa na kiwango bora kiasi ambacho ameteka watu wengi .
Hahahahaaa! Mimi ni nani hadi nikupinge Mkuu. 😂Mhasibu mkuu sasa sasa kawa mwanaharakati akisaidiana na mwanasheria nguli wa mikataba(rejea sakata la Fei) Mr Scars wako bize kupambania Saidio awe mfungaji bora.
Kazi ya Scars kwenye suala hili itakuwa ni kuchambua vifungu vya sheria kuhusu ufungaji bora ,Mhasibu mkuu atakuwa mwanaharakati wa kutembeza hashtags mitandaoni Saidoo apewe kiatu .Hii ndio furaha kubwa kwa Madundukaz.
Cc : Shadeeya
Kinachoshangaza hawa mafala hawatoi kiatu cha mfungaji boraTakwimu zinaendelea kutia uchungu.View attachment 2651593
Hadi aombe pooOKW BOBAN SUNZU bado nakusalimia kwa jina la Mayele.
Ngoja aione notification aje Mr Mhasibu aka Mtakwimu mkuu kukupa dislike ya uchungu kabisa .OKW BOBAN SUNZU bado nakusalimia kwa jina la Mayele.