Ndo maana nakwambia wewe nnapata mashaka na uwezo wa akili yako.😵Mimi ni Muislam kweli, lini nilikwambia siyo Muislam?
Faiza ni rafiki yangu wa muda mrefu saaaaaana, hahaha 🤣 usije niharibia urafiki wangu taratibu tunajuana. Nilimmiss sana enzi za John Magufuli, alipotezwa Kwa miaka kadhaaMkuu,
Tafadhali sana. Usiyatoe hadharani hayo. Ninataka kumsitiri. Kuyasema hayo utasababisha nighairi mpango.
Nafikiri mtu mwenye uelewa ameshaona kitu hapa.Au imekuuma kuona Taliban wamempa mkong''oto USA na washirika wake wote wa NATO mpaka wametoka nduki?
Sikuelewi, kwanini uwashabikiw watu walioenda kuvamia nchi ya watu na kuuwa, watu wazima, watoto wadogo, wanawake bila sababu yoyoyte. Dah
Kumbe ndo maana huwa anachuki na Magufuli.Faiza ni rafiki yangu wa muda mrefu saaaaaana, hahaha 🤣 usije niharibia urafiki wangu taratibu tunajuana. Nilimmiss sana enzi za John Magufuli, alipotezwa Kwa miaka kadhaa
Hahaha muache rafiki yangu! Anapoza machungu ya Magu Kwa DPWKumbe ndo maana huwa anachuki na Magufuli.
Pole yake kama yalimkuta mabaya
Mimi ni mshabiki kinara wa Osama bin ladeni... osama aliuliwa katika tukio la Abbottabad pakistani. Ilinichukua mwezi kuamini wakati ule ila nikaja kusadiki baada ya wanamtandao wengine wa Taliban wakati ule kutangaza kupitia wavuti ya Jihad.com kuwa osama ameuliwa.Wewe ukiiina maiti ya Osama? Si walijidai. Etu. Wsmemzika baharini. Kuna bahari ya nani huko, tazama ramani.
USA waongo, wewe unaamini walimuua
Nmekutana nae kwenye nyuzi zake hujo za DP World, ni anaamani kubwa sana halafu anachamba na kutukana wafu as if wako hai.Hahaha muache rafiki yangu! Anapoza machungu ya Magu Kwa DPW
Na havijawahi kumpa cheo mwanamke 😂Unajuwa hivi vidume havijawahi kutawaliwa.
Aah mi i siamini kama walimuwa Wamarekani.Mimi ni mshabiki kinara wa Osama bin ladeni... osama aliuliwa katika tukio la Abbottabad pakistani. Ilinichukua mwezi kuamini wakati ule ila nikaja kusadiki baada ya wanamtandao wengine wa Taliban wakati ule kutangaza kupitia wavuti ya Jihad.com kuwa osama ameuliwa.
Haikuishia hapo baada ya wakwe zake kutangaza kuwa ameuliwa Al shabab nao walitangaza kuwa watalipa kisasi kwa jambo hili lililofanyika. Al quaeda sikunbuki ni lini waliweka wazi hambo hili ila walintangaza mphyisikia Zawahili kushika hatamu huku wakisema kwenye mamlaka yao wanae mtoto wa osama Hamza ambaye alikimbia kwenye kuta za Abbottanbad...
Omar bin laden anaye ongea kiswahili fasaha mpuuzi yule pia alinukuliwa akikiri kifo cha baba yake.
Wewe ni nani hata upinge mauti ya Osama.
Kuzikwa baharini ni kawaida walifanya hivyo kwa sadam pia ili msiwaabudu.
Wacha uongo kijana, weka ushahidi wa mimi kukutukana.Nmekutana nae kwenye nyuzi zake hujo za DP World, ni anaamani kubwa sana halafu anachamba na kutukana wafu as if wako hai.
Yaani hasira zake kwa Magu anazimalizia kwa DPW, yaan unaona kabsa huyu mwanamke anakosa logic
Labda kama ulikuwa hufuatilii siasa za kigaidi wakati ule ndio unaweza kukurupuka kunipinga. Huu mtandao wa jihadi ulikuwa unatumiwa na magaidi wote alquaeda, taliban na alshabab kutoa taarifa zao. Mbona inafahamika wazi aliyejifia mwenyewe ni Murah ommar marekani wakajaribu kufanya propaganda lakini sio kwa osamaAah mi i siamini kama walimuwa Wamarekani.
Sasa wewe unaina website inaitwa Jihad ndiyo ukajuwa ya Taliban? Haana ujinga huo.
Wewe hata kisikia ISIS unajuwa hao Waislam, mradi vyombo vya habari vya propaganda za Kimarekani zimesema.
Lakini kila mtu ana hiyair ya kuelewa apendavyo.
Mimi wamenikosha Taliban, bado wanashikilia rikodi yao ya kutokutawaliwa, kwa hiyari au kwa nguvu.
Huko 18 86 kama sikossei Muingereza alijadai kwenda kuwatawala kibabe, akatolewa wa nduki, akawa hana hamu tena mpaka alivyokuja kushawishiwa na Marekani, wakala kichspo wkawa wao ndiyo wa mwanzo kukimbia kabla ya Marekani.
Kabla ya kina Marekani, Taliban wakamtowa nduki Mrusi, ndiyo hiyo vita iliyowaza Taliban na kina Osama.
Lakini hii ya kuparedi vifaa walivyovitejka haijawahi kutokea duniani.
Sasa wewe kama unaona siyo ya kweli, unataka mimi nikulazimishe ni kweli? Na nimeweka ushahidi wa video clip mbili, moja post ya mwanzo, nyingine ipo ndani humo. Tena ngoha na yenyewe nikaihamishie posy ya mwanzo.Nafikiri mtu mwenye uelewa ameshaona kitu hapa.
Mimi sishabikii USA,
Lakini kutokuwa kwangu mshabiki wa USA hakunifanyi nisipinge kuwa hiyo taarifa umeileta hapa si ya kweli.
Kwahyo wewe kumbe unadanganya hapa kwasababu ni shabiki wa Taliban?
Mimi nikishaona hayo majina najuwa ni feki tu, sifatilii kabisa.Labda kama ulikuwa hufuatilii siasa za kigaidi wakati ule ndio unaweza kukurupuka kunipinga. Huu mtandao wa jihadi ulikuwa unatumiwa na magaidi wote alquaeda, taliban na alshabab kutoa taarifa zao. Mbona inafahamika wazi aliyejifia mwenyewe ni Murah ommar marekani wakajaribu kufanya propaganda lakini sio kwa osama
The Graveyard of EmpiresTaliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea.
Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu.
Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO.
Taliban hawakukubali, wakaingia vitani wakipigana na mataifa 30 yanayoaminika kuwa na nguvu kubwa za kivita duniani, yakiongozwa na Marekani, vita iliyodumu kwa miaka 20 mfululizo. Jionee gwaride la kiajabu 👇🏾
Pia kabla ya hiyo juu Kandahar walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee 👇🏾
Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo za jeshi la USA wslizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.
Kweli hivi ndiyo vidume kiboko ya USA.
Nimependa hii reply yakoHakuna nchi ya kikafiri duniani, ukafiri wanafanya binaadam wanao mpinga Mwenyezi Mungu.
Mbona hata Waislam wengi sana wapo wanaopotea na kukufuru.
Mkuu hilo sio jeshi ni kikundi cha wafia dini, kutokea Kibiti, hakuna nchi yenye jeshi liitwalo Talebani ni kikundi cha wavamozi ndani ya nchi.Alipo uawa Osama walikuwa nchi Gani?, America Hawa ondokagi na vifaa, huwa wana viacha.Kwao askari wao ndio wa maana, pili majeshi mengi hayatumii silaha za adui, Hili ni jeshi la ajabu
Bandari yetu inaendeleaje ?Upo huru na akili zako za kawaida. Good day.
Umewaona Taliban lakini, umeyupitia uzi? maana kuna video ckip nyengine.
fact kabisa hilo ndo jeshi masikini na laviraza kuliko yote duniani, unamfumania mgoni wako anatoka nduki huku akiwa uchi,we unakuja kuvaa nguo yake ya ndani hazarani tena mbele za watu ukijipiga kifua we ni mwamba kwa mgoni wako huo si uzuzu?Alipo uawa Osama walikuwa nchi Gani?, America Hawa ondokagi na vifaa, huwa wana viacha.Kwao askari wao ndio wa maana, pili majeshi mengi hayatumii silaha za adui, Hili ni jeshi la ajabu