Afghanistan ni watu wa itikadi na asilimia kubwa wanaenda kinyume na dini inavyosema.
Dini ya kiislam hairuhusu kuinua mkono juu ya mkeo hairuhusiwi.
-Mwanamke kama anataka kutembelea ndugu anatakiwa tu kuomba ruhusa kwa mumewe na kama akitembelea ndugu bila ruhusa hakuna sheria ya kumuhukumu isipokua inabaki mazungumzo baina ya MUME NA MKE.
-Wanawake wanatakiwa wasome na ni lazima wasome kwa mujibu wa uislam.
-Wanawake wanatakiwa wajishughulishe na harakati zingine za kimaisha kwa mujibu wa uislam.
Jiulizeni kwanini haya mnayasikia Afghanistan tu!?
Mbona QATAR,UAE,OMAN,IRAN,IRAQ,KUWAIT ambazo ni nchi za KIISLAM pia hayo hayasikiki??
Au hizo nchi wao hawajui sheria za dini!??
Acheni kuitumia Afghanistan kama reference ya Islamic state ACHENI.