Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

Nyie mlowaachia kuranda ovyo wanawake ndo mnoongoza kulalamika kua mnatendwa kwenye ndoa zenu
 
Tukiweka mihemko ya kidini pembeni hii sheria inahitajika sana Tanzania kuja kuirudisha jamii iliyopotea kwenye mstari.

Hawa jamaa tunawachukulia powa kwa sababu ya record zao mbaya sana lakini sheria kama hizi ni muhimu na nzuri sana.

Wazungu wameharibu dunia, yani mwanamke anapewa kipaumbele cha kwanza, halafu mtoto, anakuja mbwa then wewe Baba ni wa mwisho.

Hi mentality ya 50 kwa 50 ni upuuzi mtupu, ubatili na ukafiri.

Tusiangalie haya mambo kwa mlengo wa kidini, kama Waislamu wana sheria za kuionyoosha jamii kuirudisha kwenye mstari hivyo ndio vitu vya kuiga kutoka kwenye Uislamu.

Humu wengi ni mashahidi hata kifo cha member mwenzetu Le Mutuz kimechangiwa na mke wake na watoto wake mwenyewe kwa malezi ya hovyo ya Kikafiri Marekani.

Imagine mtoto wako wa kumzaa anakwambia "Kiss my di**" tena live kwenye mtandao utajisikiaje?

Hebu tuangalie Biblia inasema nini?



Mithali 13:24​

Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema.
 
Hivi hawa jamaa wanawake waliwakosea Nini?? Mbona kama wanavita nao sana??
 
Dini zingine za kufutwa..!!
Hiyo nchi itaongoza kwa ukatili maradufu, wanawake na watoto watabakwa na kupigwa kila uchao..!!

Yani hapo inatakiwa wanawake na watoto waungane wawatembezee kichapo..
sema Taliban wako sahihi! Huku tz ukipiga mwanamke akaenda dawati la jinsia, utaipata fresh! Sasa taliban hawataki huo ujinga! Yaani ukienda polisi, wanakuangalia kama umevunjika mfupa. Kama haujavunjika, ni unarudishwa ukatembezewe kichapo kingine cha kumchongea mmeo na pilato ni yeye mwenyewe!! Hahahahaha!
 
Hakuna sahihi hapo, mnaonea wanawake wasio na mabrother wanaojielewa, tuliwahi kumvunja shemeji yetu miguu yote miwili na nusu tumtoe makende, hajawahi kurudia tena huo mchezo
 
Kuwachapa mikanda, mijeledi au hata kuwakatakata na viwembe hauwezi kuwavunja mifupa.
 
Afghanistan kimsingi ndiyo Jehanam yenyewe tunayosimuliwa. Hayo si maisha, kuzaliwa nchi hiyo ni mateso tu
 
Kama unaweza kutumia maisha ya Lemutuz ku sapoti hoja yako, basi wewe uko off point.

Yule alikuwa failure wa maisha. Mimi nilimuona hata kipindi amerudi hapa namna alivyokuwa hakubaliki hata kwa familia ya Mzee Malecela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…