Pre GE2025 Tamaa ya Tundu Antipas Lissu, Kuutaka uwenyekiti wa CHADEMA taifa ni utashi wake binafsi au shinikizo kutoka nje ya nchi kwa wanao mbackup!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Huna hoja mkuu! Sioni content yenye maana zaidi ya ule uapodomia aliousema Mtikila (RIP).

Ulipata lecture ya siasa toka Mlimani city jana lakini? Mama alikuwa anasikiliza somo kwa umakini toka kwa Simba
 
Gentleman,
nadhani kitendo cha kutangaza kugombea umakamu mwenyekiti taifa, halafu ghafla tena kutangaza kuutaka uenyekiti wa Chadema Taifa ndicho hasa cha kutiliwa shaka kitaalamu.

Nini kimetokea hata hata kumchochea huyu muungwana kutamani vyeo vyote viwili?

amesense nini hasa?πŸ’
 
Huna hoja mkuu! Sioni content yenye maana zaidi ya ule uapodomia aliousema Mtikila (RIP)
Relax gentleman,
na upunguze mihemko utaona giza katika kila hoja mahususi.

kua mtulivu tafadhali πŸ’
 

Kutiliwa shaka na ccm? Hizi nyuzi zote za nini uvccm kuhangaika na chama kilichoshinda 1% ya kura wiki jana tu? Mnateseka sana na nyuzi mpya kila dakika kuhangaika na chama kilichokufa?

Kina influence gani wakuu mbona taharuki ni kubwa sana? Maisha yetu yametishwa na ujio wa Simba?
 
Binafsi ninaamini kuwa ndani ya Chama, kwa sasa wajumbe wengi wanatamani kumalizana na Uongozi wa Freeman Mbowe. Ila tu ni nani wa kumfunga Paka Kengele ndiye aliyekuwa anasubiriwa. Kama ni shinikizo basi uwezekano ni mkubwa kwamba Lissu amepata shinikizo kutoka kwa Wajumbe ambao ndiyo wapiga kura..

Ukweli ni kwamba wakati wa Uongozi wake, Mbowe amekikuza sana Chama na kukipatia Umaarufu kilio nao sasa, ni jambo la kumshukuru. Lakini pia tukubaliane na ukweli mwingine kuwa sasa ni vyema akapisha mawazo mapya yaongoze Chama. Wakati wake umepita.

Kuendelea kung'ang'ania uongozi kuna hatari ya Chama kumfia huko mbeleni.
 
Ajabu kwa kweli ,mwanaccm wewe unaionea huruma CHADEMA LISu akigombea ...kweli!

4R yenu ,ilikuwa ni rushwa kwa chairman kumpoza baada ya kumkarisha rumande mwakamzima
 
Anajua lakin anachotaka?
umakamu mwenyekiti au uenyekiti Taifa au vyote kwa pamoja?

sio tamaa na shinikizo la mabwenyenye ya magharibi yanayombackup kama kibaraka wao Africa kwa mgongo wa Chadema Tanzania,kweli?πŸ’
Acha chuki. Tundu Lissu alishasema amemwandikia barua katibu mkuu wa chama kwamba hana nia tena za kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti.
 
Gentleman,
mimi ni mbobevu muandamizi makini, huwa sibabaiki hata kidogo.

Ikiwa jambo au hoja ni ya CCM nitaizungumzia CCM, na ikiwa jambo linahusu Chadema nitaizungumzia chadema bila mbambamba yoyote.

Huwa sina mawenge kujichanganya kama ambavyo unajaribu kujiconfuse na kujicontradict mwenyewe..

Sinaga mihemko wala makasiriko yoyote dhidi ya mtu au chama cha siasa..

Ni muhimu kua watulivu na kujifunza mambo muhimu kwenye vyama vya kisiasa hasa nyakati hizi za chaguzi. Itawasaidia sana. Makasiriko na gubu havina maana πŸ’
 
sasa kama ni hivyo kulikua na haja gani kutangaza kutaka kugombea umakamu mwenyekiti, tena kwa mbwembwe na majigambo, huku akiapa kutopambana na Mbowe kwenye nafasi yoyote ya uongozi ndani ya Chadema?

Nini kimebadilika ghafla,
tena kwa dhihaka na kejeli nyingi sana kutamani kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa?

ni uchu wa madaraka, tamaa ya vyeo au shinikizo za wanaomfadhili kutoka ng'ambo?

Kama unadai kapata shinikizo la wajumbe wa chama, ni wangapi hao wajumbe na shinikizo lilianza lini?πŸ’
 
Hawajui
 
Acha chuki. Tundu Lissu alishasema amemwandikia barua katibu mkuu wa chama kwamba hana nia tena za kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti.
Gentleman,
siwez kumchukia mtu ambae nafaa kumuhurumia.

Nia ya awali ya kugombea umakamu uenyekiti ilitoka wapi, na sasa tamaa ya kuutaka uenyekiti kamili Taifa imetoka wap?

alisense nini kule kwenye umakamu uenyekiti, na amenusa nini kwenye uenyekiti Taifa, hata kukosa msimamo?πŸ’
 
Ajabu kwa kweli ,mwanaccm wewe unaionea huruma CHADEMA LISu akigombea ...kweli!

4R yenu ,ilikuwa ni rushwa kwa chairman kumpoza baada ya kumkarisha rumande mwakamzima
Gentleman,
habari ya huruma hapa hakuna, japo ni muhimu kumuonea huruma lisu kwa kuamua kuonja sumu kwa ulimi.

hata hivyo,
ni muhimu sana kujifunza kati ya mafahali hawa wawili wa kisiasa Chadema, nani anatumia sayansi na nani ana kurupuka katika kufikia azma yake ya kisiasa ndani ya chama hicho πŸ’
 
unamanisha mbowe aendelee azima yake bado(20 yrs of )
 
Tunakuja na Lissu!
Dume linalotembea na risasi mwilini,he has nothing to loose, siasa nyepesi hazitaipeleka hii nchi mahali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…