Pre GE2025 Tamaa ya Tundu Antipas Lissu, Kuutaka uwenyekiti wa CHADEMA taifa ni utashi wake binafsi au shinikizo kutoka nje ya nchi kwa wanao mbackup!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anajua lakin anachotaka?
umakamu mwenyekiti au uenyekiti Taifa au vyote kwa pamoja?

sio tamaa na shinikizo la mabwenyenye ya magharibi yanayombackup kama kibaraka wao Africa kwa mgongo wa Chadema Tanzania,kweli?πŸ’
Sio kweli, MACCM yamentia ujinga abomoe chama
 
Unateseka sana chawa wewe, huyo sultani muda wake umeisha.
Muda umeamua na hakuna aliyeshindana na muda akashinda
 
Unateseka sana chawa wewe, huyo sultani muda wake umeisha.
Muda umeamua na hakuna aliyeshindana na muda akashinda
Gentleman,
mateso si anayapata kibaraka mwenyewe baada ya wajumbe wa mkutano mkuu Taifa kumkataa kila kona ama?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…