Pre GE2025 Tamaa ya Tundu Antipas Lissu, Kuutaka uwenyekiti wa CHADEMA taifa ni utashi wake binafsi au shinikizo kutoka nje ya nchi kwa wanao mbackup!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unateseka sana chawa wewe, huyo sultani muda wake umeisha.
Muda umeamua na hakuna aliyeshindana na muda akashinda
 
Gentleman,
mateso si anayapata kibaraka mwenyewe baada ya wajumbe wa mkutano mkuu Taifa kumkataa kila kona ama?🐒
 
Back
Top Bottom