Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Ni kweli hilo mbona kawaida tu kwa CCM, kama hawakutaki hata ukiongoza kura wanakuchinja tu. Labda kwa mwaka huu wanaweza wasibadilishe.Labda Ngosha atawapitisha dom bwashee.si wamesema kuongoza sio kigezo
Ile nadhani Chakubanga alikurupuka tu, maana ilikuwa ni udikteta uliopitiliza!!!Ile barua ya kusema wahamiaji waachiwe nafasi iliishia wapi ......... au ndiyo ulikuwa mtego wenyewe huo wa kuwatema kiaina!!?
Akiba ya baadae ya nini?.Lakini wangebaki na heshima yao kama akiba ya baadae
Sasa kama huamini la kwangu unatakaje niamini la kwakoAcha UPUUZI!
Sasa kama huamini la kwangu unatakaje niamini la kwakoAcha UPUUZI!
Naona Makonda kaktuma kupima upepoNajua baadhi ya watu hawataki kabisa kusikia haya majina manne kwasababu ya madhaifu yao, ila ukweli hakuna mwanadamu asiyekuwa na mapungufu. Ukimkataa mtu kwasababu ya udhaifu wake umekataa na nguvu/karama au kipawa ambacho Mungu amekiweka ndani yake.
Jambo moja ni kweli na limehakikishwa kabisa, huwezi kupenda sukari peke yake maana ujue si kila wakati utatumia sukari, kuna wakati chumvi unayoichukia wakati wa kulamba sukari nayo utaihitaji.
Binafsi hawa wanasiasa wanne nawaona kama chumvi, wanaweza kutumika kama chachu ya kuleta mabadiriko katika uongozi wako kama watajirekebisha kidogo, wakipunguza baadhi ya vitu kama kujitukuza, wakijinyenyekeza watatufaa sana watanzania kwasababu wana uthubutu pia ujasiri wa kusimamia wanachokiamini.
Nimalize kwa kusema kuwa hata kama unapenda sukari namna gani huwezi kuiweka kwenye mboga. Pls Mh Rais wape nafasi ya kututumikia watanzania.
We unadhani kila mtu analipwa basi, nimesema nachokiamini.Naona Makonda kaktuma kupima upepo
We unadhani kila mtu analipwa basi, nimesema nachokiamini.
Sasa kama huamini la kwangu unatakaje niamini la kwako