TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

Mwalimu na interview wapi na wapi bhana
Hatuombi ualimu tu, huko tuliomba nafasi ya mwandishi wa taarifa za bunge na tulikuja kwenye usaili, Kuna zile za Baraza la kiswahili, Kuna udereva, Kuna zile za loan board na nyingine zilizotangazwa na vyuo vya tengeru, UDSM, Arusha institute n.k

NAKUAMBIA TENA ACHA ZEREU
 
Utaratibu wa kutuma maombi bado haujakaa vzuri kijana ameshatuma tayari
Kupata kazi sio kuwahi kutuma maombi
Nyie ndio hamuelewi, kama iliomba mara ya kwanza bc sasa hv ni vitu vichache tuu kukamilisha hvy hautumii ht saa zima unakuwa ushamaliza
 
Mhuri unapigwa kwenye copy ya cheti tuh.

Huwezi kupiga Mhuri kwenye cheti original.

Utakua ni uchafuzi wa vyeti sasa,
 
Vipi tunaoambiwa bad credentials au unable credentials kila tukijaribu kuingia kwenye mfumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…