king yupo hii mitaa
king yupo hii mitaa
Ruttashobolwa an'takaaa!
Embu muongoze mabwepande kwanza akang'olewe kucha kwanza kabla hajenda pambana na sosoliso
Hivi upo mitaa ya kati au wapi?
Jiamini banaa kwanini uibiwe banaaa?!
unajua wimbo uliomtoa ali kiba?
siukumbuki jina..nakumbuka baadhi ya mistari..anataja taja sana kule kwa bibi kigoma..
yani hapa umenigusa bestito kwani cc ya zamani sio ya sasa imeingiliwa na watu wenye tabia za ajabuajabu na ule upendo wa zamani wa wanacc hauko tena sijui ni pepo gani limeingilia hapa, yani watu wa mji huu wanakosa hishima, ustaarabu hawana wala mapendo ya dhati hayako sijui ni kwanini? jamani tulete ule umoja wa nyuma ndio tutajenga nchi yetu ya cc hapa.
shem usijali amani inaanza kurudi na kuhakikishia mambo yatakwenda sawa.ujue nini cousin, nimegundua kuna watu wengi hawajui nini maana ya chit chat hususani wageni na wenye wachache sana, ndio maana kunakuwa na misunderstand.....!!!!
Inabidi tuwape darasa kwanza kabla hawajaanza kuchafua hali ya hewa ya mjengoni cc!
kwakweli may be akija mwenyekiti mpya tutaona maendeleo maana tunaibiwa waume zetu waziwazi, wa Baba VV unaangalia tu bila hata kusuluhisha sasa ulichaguliwa wa nn mama yangu Mamndenyi anaachika tu kila siku hata kuzuia ugomvi sijui ulikuwa wapi
besti yangu nae Lady doctor ndoa changa inavunjika kisa kifanyio hata fungate halijaisha kwani kazi yako nn hasa
mie mashairi siyawezi kama Himidini lakini kidogo tu 'nakuona uu mnyonge sana,
nami nilikuwa hivyo kule kigoma,
usilie kwa uchungu ..........,
mimi leo niko dar.....'
nadhani umepata picha.
ujue nini cousin, nimegundua kuna watu wengi hawajui nini maana ya chit chat hususani wageni na wenye wachache sana, ndio maana kunakuwa na misunderstand.....!!!!
Inabidi tuwape darasa kwanza kabla hawajaanza kuchafua hali ya hewa ya mjengoni cc!
shem usijali amani inaanza kurudi na kuhakikishia mambo yatakwenda sawa.
hivi shem Lady doctor mumeo Arushaone yupo? au nawewe umekimbiwa kama Paloma?
sikuachana naye kwa talaka kuna mamluki waliniibia baada ya kuwa busy majukwaa mengine. Halafu aliyeniibia àti kajipachika m/mwenyekiti.