shem usijali amani inaanza kurudi na kuhakikishia mambo yatakwenda sawa.
hivi shem Lady doctor mumeo Arushaone yupo? au nawewe umekimbiwa kama Paloma?
kumbukumbu iwekwe sawa sikuachana my beloved queen kwa talaka. Ila kwa kuwa yeye kaibiwa na Himidini basi Mathayo 19:9 imenibidi niitimilize.
kweli kabisa, ila hata sisi wenyewe tukiona mtu anapindisha mshale wa cc twaweza kuwaelekeza pia kabla mambo hayajaanza kuaribika, yakituzidi ma mods watafanya kazi yao
kumbukumbu iwekwe sawa sikuachana my beloved queen kwa talaka. Ila kwa kuwa yeye kaibiwa na Himidini basi Mathayo 19:9 imenibidi niitimilize.
shem nadhani hata wewe umeona amani imeanza kurudi kabisa. usijali sote ni binadamu na mambo yatakuwa sawa kabisa.
Nipo hapa msiri wangu Kaizer. Nimekasirika sana kuona Mwita Maranya anamtetea Baba V! Watu tunataka mabadiliko wengine wanawalinda viongozi wasiojua majukumu yao. Mie nipo msituni na kina Madame B Nivea na wengineo wataka mabadiliko. Tukitoka huku mwenyekiti wa CC atafute pa kukimbilia.Mkuu Mwita Maranya naunga mkono hoja,. In fact namtafuta mmasaia anitafsirie ile makitu. Msiri wangu mwaJ yuko wapi?
We Mwita Maranya umekumbatiana na nani? Acha kumdanganya mwenzio. Mie niko mazoezini huku msituni na kamanda Madame B. Kama mwenyekiti haachii ngazi kwa hiari lazima tumzindue.Mkuu Kaizer msiri wako mwaJ yupo amejaa tele siunajua leo weekend bana tunakumbatiana hadi saa sita mchana! Ametulia tu hapa anakusoma kama utaweza kumnusuru swahiba Baba V na haka kasunami ka Nivea & co.!
Mimi nimetumia google translator lakini bado sijaelewa kikamilifu ukimpata mmasai wa ukweli unipigie pasi ndefu huku kwenye kibendera!
Nipo hapa msiri wangu Kaizer. Nimekasirika sana kuona Mwita Maranya anamtetea Baba V! Watu tunataka mabadiliko wengine wanawalinda viongozi wasiojua majukumu yao. Mie nipo msituni na kina Madame B Nivea na wengineo wataka mabadiliko. Tukitoka huku mwenyekiti wa CC atafute pa kukimbilia.

We Mwita Maranya umekumbatiana na nani? Acha kumdanganya mwenzio. Mie niko mazoezini huku msituni na kamanda Madame B. Kama mwenyekiti haachii ngazi kwa hiari lazima tumzindue.
We Mwita Maranya umekumbatiana na nani? Acha kumdanganya mwenzio. Mie niko mazoezini huku msituni na kamanda Madame B. Kama mwenyekiti haachii ngazi kwa hiari lazima tumzindue.