Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

kweeendreeeni zenu huko nyie njaa kali!
 
Asante sana dada Rose, umesema ukweli ulivyo.
 
Hawa TBC nao wawekwe kwenye list ya criminals watakaoshtakiwa ICC
Kama hawana habari kuwa hata vyombo vya habari vinafikishwa pale the Hague basi wakamuulize yule mtangazaji wa radio moja pale kenya anaitwa Arap Sang' alivyo sota pale kwa kina Vanpase
 
Hao DCPC wanajua kwanza nini kilipelekea Mbowe kutoa uamuzi ule? Nilidhani badala yake walipaswa kukemea upuuzi wa Tibisii kusitisha sitisha hotuba kila walipoona yanasemwa yanayoweza kuwakera watawala. Shame on DCPC, shame on Tibisii!!
 
Mmetumwa sio! Habari iwafikie tu hakuna kuomba radhi Wala Nini wanafiki wakubwa ninyi. Vyombo vya habari tunavyo mikononi msirushe, Wala kuandika habari za cdm muone Kama nangi mtapata hao wateja
 
Mnakela sana,mnaza hii Nchi ni mali ya mbogamboga?[emoji1787][emoji41]
 
Mimi niliiangalia sehemu tu Ila ilitosha kuzima tv kwa hasira,kwa wao kufanya Mambo ya hovyo.
 
Akili ndogo sijui shuleni mlikwenda kufanya nini?
Serikali imefuta bunge live wala hukuinua hata kidole.
Badala ya kutetea uhuru wa kupata habari unatetea uhuru wa kuminya habari.
Kama haitoshi unategemea Bw Mbowe ataomba msamaha kwa lipi?
Sijui kama unaelewa hata kile ulichoandika,inakufaa ufanye kazi Siberia.
 
Samahani, kwani TBC wao wameomba radhi lini au kutolea ufafanuzi zaidi kwa walichokifanya?
 
Hivi huyu ni binadamu au ni msukulu tu wa Sisiem. Heri hata nabii tito anafaidi kwenye jamii kuliko huyo mwenyekiti. Hivi akirudi nyumbana watoto wanamwita baba, na mkewe anamwita mme!!!
 
POLENI
Wote nyie pamoja na TBC mko sawa tu.
Katika miaka hii mitano ya giza, katikati ya ukandamizaji wa haki na uvunjaji mkubwa wa katiba mpaka ndani ya bunge, kutokana na unafiki kutokana njaa zenu, mmekuwa mkishindana kumsifia Jiwe.
MMECHOKWA wala hamhitajiki tena hata kwa wananchi, enendeni mkatafute kungine ili kumfurahisha JIWE. AMEN
 

Hivi hata wakipata nafasi ya kusikiliza na upande mwingine? Au ni yale wanaita ya upande mmoja?

Wametangaza kipi cha upinzani lini? Hawa si na yule mtia nia wa kawe yumo?

Wengi wao ni maafisa vipenyo. Wako ki mkakati zaidi.

Ni bora kushindwa uchaguzi bila hawa jamaa kuliko kuwaomba radhi. Andiko lao halionyeshi kutambua malalamiko ya CDM hata kidogo?

Si ndiyo maajabu ya Firauni haya?
 
Nimemsikiliza huyo mdada na pia waandishi wengine wa habari na TV zao za mtandaoni. Kwa mimi niliekuwa nafuatilia yalikuwa yanatokea Mbagala na kama kijana wa zamani sikushangaa kwa TBC kuacha kurusha kilichokuwa kinasemwa. Kwa ujumla si magazeti na si TV-tumepoteza ujasiri, lolote linalo kosoa msimamo wa bwana yule basi litauwawa. Na kweli nilifurahi TBC kuambiwa wafunge virago kwani walikua wanarusha yao na siyo yanayoendelea pale. Afadhali hata wangekatisha matangazo yao jumla kuliko ujinga uliokuwa unaendelea pale. Binafsi sioni sababu ya kuomba radhi kama hao waandishi wako serious wao na TBC yao waombe radhi na si vinginevyo. Haiwezekani nchi nzima ikawa na sauti moja. Watu wanajificha ndani ya kivuli cha kuzuia matusi lakini ukweli ni kutotaka watanzania waelezwe mambo.
Matusi na "uchochezi" etc vina sheria zake anaetukana peleka huko akutane na sheria lakini sio kila mtu anajifanya yeye ni sheria, wasilolipenda likisemwa basi tunakatiwa hotuba.
 
Aheri club ya pombe kuliko club ya waandishi wanafiki

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…