Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho, uliofanyika kwenye viwanja vya Mbagala Zackem jijini Dar es Salama kwa tuhuma za kwamba wanafikiri wao ni televisheni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika amri yake Mhe. Mbowe alitoa dakika 15. Kwa waandishi hao kuwa wamefunga vyombo vyao na kuondoka katika eneo la mkutano huo kwa madai kwamba TBC ilikuwa imesitisha matangazo ya mkutano huo ambayo awali yalikuwa yakirushwa mubashara.

Mbowe alisema wamechoka kuonewa na kufanywa wapumbavu hivyo aliwapa dakika 15 wawe wameondoka kwenye viwanja vya mkutano.

Kwa vipimo vyovyote vya kimaadili kitendo hicho kilikosa uungwana na hakikubeba misingi ya kiutu hata kama zilikuwepo dalili zozote za kukatishwa kwa matangazo hayo au huko kufanywa wapumbavu kama alivyosema Mhe. Mbowe.

Kitendo kile ambacho kilikosa busara na ukomavu wa kisiasa siyo tu kiliwadhalilisha na kuwafedhesha waandishi wale pamoja na taaluma yao isipokuwa zaidi kilihatarisha usalama wao na vifaa vyao kutokana na mazingira yaliyokuwepo.

Kutokana na hali hiyo ambayo haivumiliki hasa katika kipindi hiki cha kampeni za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 sisi DCPC ni klabu huru ya waandishi wa habari mkoa wa Dar es salaam, wakati tukiendelea kutafakari hatua sahihi za kuchukua kwa kushirikiana na wadau wengine wa habari mkoani humu, inachukua nafasi hii kukemea na kulaani kitendo kile pamoja na kumtaka Mhe. Mbowe kuomba radhi kwa waandishi wale, Televisheni ya taifa, tasnia ya habari, pamoja na Watanzania kwa ujumla.

Tasnia ya habari ni nyenzo muhimu katika upashanaji wa habari hasa nyakati hizi za kampeni za kisiasa na uchaguzi wananchi wanahitaji kujua sera, ilani na mipango ya vyama vya siasa kabla ya kupigakura. Na kwa vyovyote hakuna njia rahisi ya wananchi kuyapata yote hayo kama si kupitia vyombo vya habari ambavyo CHADEMA imeamua kuwadhalilisha.

DCPC inaungana na vyombo, taasisi na watu wote ambao wamekerwa na kitendo kile na inaviasa vyama vingine vyote kujiepusha na mihemuko inayoweza siyo tu kudhalilisha taaluma ya habari lakini pia kuwatia hatarini waandishi wa habari wanapokuwa kazini.

Mwenyekiti DCPC
Irene Mark
01.09.2020
Njaa mbaya sana ccm hawa wamempoteza azory mazima
 
BWANA YULE ALIPOTAMKA KWAMBA NI MARUFUKU KWA CHOMBO CHOCHOTE CHA HABARI KUTANGAZA HABARI ZA LISSU MBONA WEWE MWENYEKITI NA WENZAKO MLINYAMAZA KIMYA? BWANA YULE ALIPOWATISHA NA KUWAAMBIA MNAJIONA MPO HURU LAKINI NOT TO THAT EXTENT MBONA WEWE MWENYEKITI NA WENZAKO MLINYAMAZA KIMYA? HATA MSIPOANDIKA HABARI ZA CHADEMA TUTAZIPATA KWA NJIA ZINGINE KAMA TULIVYOZOEA. SIAMINI KAMA NI WEWE IRINE MARK TUNAYEKUJUA. AU MMETISHWA NA CCM?
 
Zaidi ya miezi 6 Chadema wanalalamika TBC kurusha habari za upande mmoja,sasa walipoanza kurekebisha makosa na kuja kuanza kurusha habari za Chadema sasa mnawafanyia vurugu,mnataka kupora na camera,yani sijui msaidiweje.

Waendelee na ccm
 
WAANDISHI WA HABARI WENZENU WAMEFANYIWA MABAYA MAKUBWA NA HUYU IDD AMIN WA TZ MMENYAMAZA KIMYA. TBC IMETUKATILI KUONYESHA BUNGE LETU MUBASHARA UPO KIMYA NA WENZAKO MKO KIMYA HALAFU LEO ETI UNATULETEA MAMBO YA TBC. KWANZA TBC NDIO MDUDU GANI? TOKENI ZENU HAPA. HATA MKIACHA KUTULETEA HABARI ZA CHADEMA SAWA TU.
 
Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho, uliofanyika kwenye viwanja vya Mbagala Zackem jijini Dar es Salama kwa tuhuma za kwamba wanafikiri wao ni televisheni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika amri yake Mhe. Mbowe alitoa dakika 15. Kwa waandishi hao kuwa wamefunga vyombo vyao na kuondoka katika eneo la mkutano huo kwa madai kwamba TBC ilikuwa imesitisha matangazo ya mkutano huo ambayo awali yalikuwa yakirushwa mubashara.

Mbowe alisema wamechoka kuonewa na kufanywa wapumbavu hivyo aliwapa dakika 15 wawe wameondoka kwenye viwanja vya mkutano.

Kwa vipimo vyovyote vya kimaadili kitendo hicho kilikosa uungwana na hakikubeba misingi ya kiutu hata kama zilikuwepo dalili zozote za kukatishwa kwa matangazo hayo au huko kufanywa wapumbavu kama alivyosema Mhe. Mbowe.

Kitendo kile ambacho kilikosa busara na ukomavu wa kisiasa siyo tu kiliwadhalilisha na kuwafedhesha waandishi wale pamoja na taaluma yao isipokuwa zaidi kilihatarisha usalama wao na vifaa vyao kutokana na mazingira yaliyokuwepo.

Kutokana na hali hiyo ambayo haivumiliki hasa katika kipindi hiki cha kampeni za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 sisi DCPC ni klabu huru ya waandishi wa habari mkoa wa Dar es salaam, wakati tukiendelea kutafakari hatua sahihi za kuchukua kwa kushirikiana na wadau wengine wa habari mkoani humu, inachukua nafasi hii kukemea na kulaani kitendo kile pamoja na kumtaka Mhe. Mbowe kuomba radhi kwa waandishi wale, Televisheni ya taifa, tasnia ya habari, pamoja na Watanzania kwa ujumla.

Tasnia ya habari ni nyenzo muhimu katika upashanaji wa habari hasa nyakati hizi za kampeni za kisiasa na uchaguzi wananchi wanahitaji kujua sera, ilani na mipango ya vyama vya siasa kabla ya kupigakura. Na kwa vyovyote hakuna njia rahisi ya wananchi kuyapata yote hayo kama si kupitia vyombo vya habari ambavyo CHADEMA imeamua kuwadhalilisha.

DCPC inaungana na vyombo, taasisi na watu wote ambao wamekerwa na kitendo kile na inaviasa vyama vingine vyote kujiepusha na mihemuko inayoweza siyo tu kudhalilisha taaluma ya habari lakini pia kuwatia hatarini waandishi wa habari wanapokuwa kazini.

Mwenyekiti DCPC
Irene Mark
01.09.2020
MBOWE ACHANA NA HAWA WACHUMIA TUMBO WA LUMUMBA. TUNAKUFAHAMU WEWE IRINE MARK ULIKUWA GAZETI LA TZ DAIMA UKANUNULIWA NA CCM. ENDELEA NA CCM. ACHANA NA SISI WATANZANIA. NANI ASIYEJUA VITUKO VYA TBC KWA WAPINZANI?
 
TBC imekuwa haitoi matangazo ya haki Sawa kwa vyama vya upinzani hasa chadema kwa mda mrefu Nyinyi mmekuwa Kimya bila hata kukemea sasa leo mnaibuka na upuuzi ebu mtutokee hapa
Ndio cha kushangaza hasa,walipokuwa hawatoi habari za upinzani hawakusema sasahivi wamefukuzwa wanajidai kulalamika,watuondolee unafiki wao
 
Niliandika leo asubuhi kwenye page yangu juu ya upofu wa weledi wa waandishi wa habari baada ya kusoma Tamko la Kaimu Mwenyekiti. Nisijue kuwa haya mambo nikiyowahi kuyashuhudia wakati nafanya kazi na wakina Rostam Aziz, ma spin doctors wa wakati huo, bado yako japo kwa kiwango cha hali ya level ya zero kabisa. Nianze kwa kuungana bq wale waliokwisha uliza hili swala linawahusuje Press Clubs? Irene Mark katumwa na nani kuchafua Press Clubs, zilizojengwa kwa weledi mkubwa na wahenga wakina Karsan kwa lengo la primarily, kutetea maslahi ya waandishi na weledi wa uandishi wa habari Tanzania, wakipigania maslahi na press freedom. Naomba kusaidiwa kwamba Wanachama wa Press Clubs wengi ni waajiriwa wa vyombo binafsi, qmbavyo vyote vimeathiriwa na mfumo mpya wa kunyumwa matangazo, ambayo no chanzo kikubwa cha kipato, na hivi sasa, vingi vineshindwa kujiendesha na wafanyakazi wake wanaishi kwa kuombaomba kwa kukosa mishahara, ni bahati kama Mwenyejiti wa Jukwaa hili si mmoja wa hao. Kwa upande mwingine watendaji wa vyombo vya umma wana neema ya vyombo vyao kuwa ndio wafaidika wakubwa wa matangazo ya serikali, na pili kwa zama hizi ninavyosikia, hata mishahara yao inatoka serikali kuu. Hawa ndio waliolalamikiwa na Chadema wiki iliyopita, na leo hii ACT wamelirudia hilo. Hivi kwa wana Club ya DSM, hamuoni kwamba tatizo lililosemwa linawahusu TBC kama chombo, na kwa weledi ule ule wa kiuandishi lalamiko hilo lingetolewa na vyombo vyenu kwa kuwa tayari waandishi wa habari tena mahiri wamekosoa maana wanajua live ya namna ile haipo kwenye Journalism. Ni vema waandishi wq habari wakajikita kwenye mambo ya msingi hasa weledi katika kazi zao hasa hawa wa vyombo vya habari binafsi ili kuweza kuvutia wasomaji na kuwawezesha waajiri wao kupata hela za kuwalipeni mishahara.
 
ANAYEONA ALIFUKUZWA KWENYE MKUTANO NDIYE ALALAMIKE. KAMA TBC INAWAUMA KUFUKUZWA MKUTANONI IWEJE WAENDE KUOMBA MWAVULI WA CLUB ZA WAANDISHI WA HABARI WA DAR ZIWASEMEE? TBC MJITAFAKARI MNACHOFANYA.
 
Mbowe ni adui mkubwa wa vyombo vya habari.
Adui anafahamika usiji"bebishe"
RFA BBC Lissu interview tunajua...
Ma fine kibao, kwa nini media haziko comfortable kuripoti habari za upinzani kabla ya TBC kutimuliwa?Utajibu ujiuji tuuuu...kazi kweli kweli.Mavi kuita keki.
 
Hao DCPC in mamluki wa CCM. Kwa hiyo wanabariki kile kilichokuwa kinafanywa na TBC. Waishie mbali. Hakuna cha kuomba radhi hapa!
Nafikiri hata wao wanajua kuwa haiwezi kutokea cdm wakaomba radhi kwa hao mamluki wa ccm.
 
MBOWE ACHANA NA HAWA WACHUMIA TUMBO WA LUMUMBA. TUNAKUFAHAMU WEWE IRINE MARK ULIKUWA GAZETI LA TZ DAIMA UKANUNULIWA NA CCM. ENDELEA NA CCM. ACHANA NA SISI WATANZANIA. NANI ASIYEJUA VITUKO VYA TBC KWA WAPINZANI?
Mwambie huyo ndumilakuwili
 
Back
Top Bottom