Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

zuia watoto kuendekeza hizi tamthilia zina upuuzi mwingi uliojificha...kwanza ukiachilia udini kama huo zinasababisha uraibu wa tv kwa watoto hata watu wazima. Na kibaya serikali imeachia hizi tamthilia za nje zinaonyeshwa hovyo ilhali zina mazingira tofauti ya mila na utamaduni wetu.
 
Lipia Kifurushi ila LOCK channels usizozitaka ziangaliwe.
 
Eti una heshima, kama una heshima usingeandika utumbo. Heshima unaijua ww
 
Wanachonifurahisha waturuki ni kuishi kama wakristo hasa kimavazi, na sijasikia kina mnyazi kuwatenga wala nini au kwa vile wanajiweza kiuchumi😂happ ndo utajua unafiki wa hawa watu

Kitu nyepesi nunua king'amuzi kingine, au usilipie kifurushi mi niliacha baada ya kuona utumbo utumbo ktk chaneli zao
 
samia anajua hili na amekaa kimya,hatari sana kuwa na rais mbaguzi.
 
Wanaigeria wangeeneza sana ukristo na zile movie zao za kuishia kanisani.
Wale hawana movie ya ku dhihaki Imani nyingine, kama ulivyo hii ottoman inavyodhihaki ukristu na mamlaka ya papa. Wanaigeria wao unakuta ni movie za maadili tu na hawahusishi Imani mbili tofauti. Pale ambapo unatumia Imani tofauti lazima u strike Ballance . Haiwezekani unaotengeneza story wewe mwenyewe halafu unadanganya watu kwa propaganda kuwa Kila scene mlipo pigana na Roma mliwashinda. Hiyo ni story ya propaganda . Kwa kuwa mambo haya yakitokea pande zote mbili, ingefaa mchezo huo uandaliwe kwa pamoja kati ya pande zote zilizoshiriki. Sasa mfano warumi na wenyewe wakija na propaganda ya story kama hiyo wa waendelee upande wao ingekuwaje? Lakini wao hawawezi kufanya ujinga na utoto kama unaofanywa na waturuki hao
 
Unapingana na historia?
Watuonyeshe tu
Historia iliyopindishwa? Ninyi si mabingwa wa kubadili historia kuonyesha kuwa ninyi ni suprime? Hapa bongo tu ukitaka historia mfano ya uhuru wa Tanganyika, au historia ya utumwa wa mwarabu Zanzibar, ukifuata story za akina Mohamed said au wanazuoni wenu si za uongo kabisa , na sasa wanamsafisha mwarabu eti hakushiriki kabisa biashara ya utumwa Wala mateso kwa babu zetu, badala yake alikuwa Mwema kabisa mwenye uruma na mweneza dini....rRongo tupu historia zenu
 
Mimi nilikuwa nazungumzia kwa mtu ambaye anayeamini kuwa hizo movie za waturuki zina lengo la kuutangaza na kueneza uislamu ndio maana nikatoa mfano wa kinigeria kwamba kama ingekuwa inawezekana kueneza dini kwa movie basi wanaigeria ndio wangefanikiwa sana kuusambaza ukristo.

Waturuki wana movie nyingi tu na hao Azam wanazionyesha ila hazihusu kabisa masuala ya dini wala kudhihaki ukristo kama waturuki wangekuwa na lengo la kudhihaki ukristo basi hata movie zao zengine nje ya hiyo ottoman pia tungeona hizo dhihaka kwa ukristo. Halafu binafsi sijaona kama wanachokifanya wanadhihaki ukristo kwenye hiyo Ottoman kisa wanashinda kila pambano, na ukizingatia huwa yapo makundi mule hata hayana dini kabisa nao huwa wapo.
 
Huyo Mungu anayesubiria kupiganiwa basi hajielewi
 
HIO Tamthilia ni HISTORY YA KWELI na sio maigizo tu ya kutafuta pesa

Na kawaida ya Historia za kweli zote huwa zinachoma choma manake zinagusa wale wasio na elimu.

Iko moja inakuja inaitwa "THE CRUSADE " Ya wale wakristo waliua waislamu kule Israel wakala nyama za watoto kwa kutumia jina la Yesu.

Hio ikianza labda utavunja hio TV yako.
Usipende kulalamika bila kufahamu unacho lalamikia

Soma historia ya THE OTTOMAN EMPIRE uone je AZAM anaonyesha Tamthilia ya uongo au NI KWELI TUPU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…