balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mzee machache RIPKweli..ilikuwa huzuni..now tuna matajiri Waarabu..wenye udini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee machache RIPKweli..ilikuwa huzuni..now tuna matajiri Waarabu..wenye udini
zuia watoto kuendekeza hizi tamthilia zina upuuzi mwingi uliojificha...kwanza ukiachilia udini kama huo zinasababisha uraibu wa tv kwa watoto hata watu wazima. Na kibaya serikali imeachia hizi tamthilia za nje zinaonyeshwa hovyo ilhali zina mazingira tofauti ya mila na utamaduni wetu.Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.
Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.
Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Hata kazi za watangazaji 'Hapo Azam asilimia 80 ni Waislamu, Km Bakhresa unapenda Uislam nenda kawekeze Uarabuni. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Lipia Kifurushi ila LOCK channels usizozitaka ziangaliwe.Wakikusikia utasikia,
"Hama kwani nani kakulazimisha kununua Azam".
Mimi baada ya kumuona mwanangu anajifunza kushika mapanga na kujisifia anakula vichwa kama osman anashushia na lugha za kiarabu hata sizielewi...siku hizi silipii kifurushi.
Maana leo Osman anakula vichwa vya waroma kesho huyu mtoto atatafuta wa kujaribishia..[emoji26][emoji26][emoji26]
Eti una heshima, kama una heshima usingeandika utumbo. Heshima unaijua wwMimi nina heshima zangu humu sitokujibu kwa kukutukana, pia mimi ni msomi hivo nakuacha,ila siku nyingine wewe mfia dini ukikuta nime comment sehemu naomba usiniquote
Mimi humu huwa ninazunhumza na watu wazima wenye akili timamu, tafadhali sana Mkuu tuheshimiane, this is very low for me
Pole na kwa Ban nilikurepoti kwa mods nadhani sasa utarudi uraiani kwa displini ya hali ya juu na ukiwa mkaidi soon utarudi kifungoni 😆😆😆YESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRR
Ilhali waarabu wanajitahidi kukaa mbali na uafrika,😂😂Wabongo wanavyo wapenda waaraBu kama wenyewe waarabu wanataka vile.........ni aibu
Ni kweli huyo ni wa kumsusia na bidhaa zake akauzie huko uarabuni.Wakristo tususie uchafu wa Azam
samia anajua hili na amekaa kimya,hatari sana kuwa na rais mbaguzi.Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.
Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.
Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Hata kazi za watangazaji 'Hapo Azam asilimia 80 ni Waislamu, Km Bakhresa unapenda Uislam nenda kawekeze Uarabuni. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Wale hawana movie ya ku dhihaki Imani nyingine, kama ulivyo hii ottoman inavyodhihaki ukristu na mamlaka ya papa. Wanaigeria wao unakuta ni movie za maadili tu na hawahusishi Imani mbili tofauti. Pale ambapo unatumia Imani tofauti lazima u strike Ballance . Haiwezekani unaotengeneza story wewe mwenyewe halafu unadanganya watu kwa propaganda kuwa Kila scene mlipo pigana na Roma mliwashinda. Hiyo ni story ya propaganda . Kwa kuwa mambo haya yakitokea pande zote mbili, ingefaa mchezo huo uandaliwe kwa pamoja kati ya pande zote zilizoshiriki. Sasa mfano warumi na wenyewe wakija na propaganda ya story kama hiyo wa waendelee upande wao ingekuwaje? Lakini wao hawawezi kufanya ujinga na utoto kama unaofanywa na waturuki haoWanaigeria wangeeneza sana ukristo na zile movie zao za kuishia kanisani.
Historia iliyopindishwa? Ninyi si mabingwa wa kubadili historia kuonyesha kuwa ninyi ni suprime? Hapa bongo tu ukitaka historia mfano ya uhuru wa Tanganyika, au historia ya utumwa wa mwarabu Zanzibar, ukifuata story za akina Mohamed said au wanazuoni wenu si za uongo kabisa , na sasa wanamsafisha mwarabu eti hakushiriki kabisa biashara ya utumwa Wala mateso kwa babu zetu, badala yake alikuwa Mwema kabisa mwenye uruma na mweneza dini....rRongo tupu historia zenuUnapingana na historia?
Watuonyeshe tu
Mimi nilikuwa nazungumzia kwa mtu ambaye anayeamini kuwa hizo movie za waturuki zina lengo la kuutangaza na kueneza uislamu ndio maana nikatoa mfano wa kinigeria kwamba kama ingekuwa inawezekana kueneza dini kwa movie basi wanaigeria ndio wangefanikiwa sana kuusambaza ukristo.Wale hawana movie ya ku dhihaki Imani nyingine, kama ulivyo hii ottoman inavyodhihaki ukristu na mamlaka ya papa. Wanaigeria wao unakuta ni movie za maadili tu na hawahusishi Imani mbili tofauti. Pale ambapo unatumia Imani tofauti lazima u strike Ballance . Haiwezekani unaotengeneza story wewe mwenyewe halafu unadanganya watu kwa propaganda kuwa Kila scene mlipo pigana na Roma mliwashinda. Hiyo ni story ya propaganda . Kwa kuwa mambo haya yakitokea pande zote mbili, ingefaa mchezo huo uandaliwe kwa pamoja kati ya pande zote zilizoshiriki. Sasa mfano warumi na wenyewe wakija na propaganda ya story kama hiyo wa waendelee upande wao ingekuwaje? Lakini wao hawawezi kufanya ujinga na utoto kama unaofanywa na waturuki hao
Huyo Mungu anayesubiria kupiganiwa basi hajielewiMkristo: Anaamini kuwa Mungu anaweza kujipigania mwenyewe. Ukristu unaaminisha hata ukifa kwa ajili ya kristo na bado una dhambi utahukumiwa tu.
Muislam: Huyu anaamini kabisa Mungu wao kawaruhusu kupigana kwa ajili ya dini yao.
Pia ikitokea mtu kafia Uislam basi yeye moja kwa moja anaenda mbinguni hata kama ana dhambi kibao
Kama Allah ni Mungu basi ajipiganie wenyeweHuyo Mungu anayesubiria kupiganiwa basi hajielewi
Hata hapa wanaokuja kulalamika dini yao kudhihakiwa na tamthilia ya ottoman nao wanampigania Mungu wao.Huyo Mungu anayesubiria kupiganiwa basi hajielewi
Kujipigania vp?Kama Allah ni Mungu basi ajipiganie wenyewe
HIO Tamthilia ni HISTORY YA KWELI na sio maigizo tu ya kutafuta pesaTamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.
Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.
Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Hata kazi za watangazaji 'Hapo Azam asilimia 80 ni Waislamu, Km Bakhresa unapenda Uislam nenda kawekeze Uarabuni. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Wagalatia huwa mnajiharibia sana kwenye hizi comment zenu.Hizo tamthilia zimewekwa kwa lengo maalumu, kueneza utamaduni wa waarabu na uislamu,
Ni mpuuzi sn huyo mwarabuNi kweli huyo ni wa kumsusia na bidhaa zake akauzie huko uarabuni.