Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], UDINI UDINI UDINI. Mtakufa kwa presha, umetumwa uangalie? Mbona kuna EMMANUEL TV, MZEE WA UPAKO TV??
 
Wakiristo muwekewe jukwaa lenu au uzi maalumu wa kulalamika maana kila siku hazipungui mada chini ya tatu za malalamiko wakati mlikubaliana kuwa hamna mambo ya kulialia .

#ShameOnYou
 
Sasa si ndio kama hiyo ya Ottoman? Mimi siangalii hizo tamthilia, ila kusema ukweli kabisa Islamophobia is real tusifanye utani...
Weka hata series moja kama hiyo ya hollywood inayooneshwa Azam.
 
Waafrika some time naonaga sisi ni taka taka ujuwe.Make Ile story ni ya kweli tena tumesomeshwa Hadi kwenye mitaala A level.

Pia mtihani unatungwa na maswali kuhusu Ottoman Empire.

Sasa sielewi mtu uko Zako manyoni unakuja kulalamika kitu ambacho hata Roma wanasoma historia yake na waneitunza.

Yaan Kila unachoona katika filamu ndo kilichopo katika vitabu vya historia.

Mfano Sasa hivi Azam waanze kuonyesha Rise&fall of Roman Empire, watu watalalamika Azam anatangaza ukristo?

Acheni ujinga wa fikra bana.
 
Leo upepo wa mashambulizi umehamia kwa Azam tv.

Halafu mfungo wa Ramadhani unakaribia inabidi muandae ni zile nyuzi za kubadilisha muda wa kula na vipigo vya raia Zanzibar!!.
 
Wa China inapaswa wailalamikie Korea maana muvi ya Jumong indhalilisha utawakawwa Han dynasty wa China kuonyesha wakipigwa na kuuwawa.

Wajapan wanapswa kuilalamikia China kwa kuruhusu muvi ya IpMan ikionyesha historia na Wajapan kupigwa na kushindwa.

Nb:Mnatia aibu kulalamika kama watoto wadogo katika mambo simple tu .
 
Ni vile tu hatujitambui,
hivi hao azam sisi si ndo tunaowalisha?
Tungekuwa tunajitambua tungesusa huduma zao zote au kutafuta altenative investor. Huu ni uchokozi kabisa.
Nchi hii Uchumi umeshikwa na Waislam tupu, waislam ni kama maji kila sehemu wapo.
MO
BAKHRESA
ROSTAM
ASAS
MANJI

Na matajiri unaowajua wewe hapo, nenda kariakoo ndio utachanganyikiwa, kwa kifupi nchi hii imeshikwa na waislam
 
Nchi hii Uchumi umeshikwa na Waislam tupu, waislam ni kama maji kila sehemu wapo.
MO
BAKHRESA
ROSTAM
ASAS
MANJI

Na matajiri unaowajua wewe hapo, nenda kariakoo ndio utachanganyikiwa, kwa kifupi nchi hii imeshikwa na waislam
Bila kusahau masikini wengi ni waislam, Wakristo wamebalance
 
Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumbani inaoneshwa na Azam Media...
movie za kwenye vingamuzi nyingi naona za kidemu mara sijui kurfi, mara sijui series gani stories za kiboya hazina reality kuna siku nilienda ugenini nikauta zimewekwa yaani hata wanavyopigana unashangaa,

Anyway kila mtu na anachokipenda ukitaka kuona uanaume angalia kitu kimoja kinaitwa vikings
 
Angalia movie zote za waarabu na wamarekani ,lazima majambaau wawe waarabu Tena wanaonekana wale watu dini ( waislamu) wakichinja watu Kwa sana ,mbina husikii watu wakilalama.
Mwongo wewe. Hollywood wanayengeneza muvi kutokana na nyakati. Nyakati za cold war walitengeneza muvi za kishushu against russia na always mashushu wa kimarekani waliibuka washindi.

Nyakati za vita za vietnam walitengeneza muvi za kikomandoo. Yaani anold sgozniga au rambo mmoja anawatembezea mkong'oto jeshi zima la wavietnam.

Nyakati za ugaidi wanatengeneza muvi za kudhibiti ugaidi. Ndio mana unaona muvi nyingi special team za makomandoo wa Marekani wanatembezea mkong'oto wavaa kobazi huku huko mapangoni.

Sasa hivi kuna sci -fi movies. Hapa mmarekani anaitambia dunia ameendeleea kiteknolojia ya halo ya juu. Hapa ni kumdemoralize mchina zaidi.

Ukiwa na akili timamu utajua azam kuna udini sana hili liko wazi. Tv za mzee mengi and the likes huwezi kukuta ujinga kama wa Azam.
 
Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumbani inaoneshwa na Azam Media...
Ungesoma kwanza historia si unaaanza kulalamika, kwa ufupi tu othman ni mwana wa mwisho wa ertugrul gazi na ndiyo aliyeiunda ottoman empire iliyotawala kwa miaka 600+ mpaka ilipokufa mwaka 1922.

Ukiangalia huyu jamaa aliwapiga vigongo wa miaka hiyo wote hadi dracula unayemsikia wanaye muekti kama vampire HII NI HISTORIA NA SI MAMBO YA KUFIKIRIKA.
 
Back
Top Bottom