Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamenawa.Ni kweli
Nchi ngumu hii watasingizia mwanaFAWamenawa.
Siyo kama hayaharibiki lakini wanawasha mawili kwa wakati mmoja yanasaidiana majukumu (synchronization). Lets say zinatakiwa 100KW basi kila moja linatoa 50:50 au 30:70 mwenyewe tu utakavo set. Kama moja linafeli basi mzigo wote automatically unabebwa na lile moja zima inakuwa 0:100 hapo. In some more serious cases hata matatu ai manne yanatumika.Mbona magenereta ya wenzetu hayaharibiki hovyo kama yetu
Nchi hii hakuna kitu viongozi wanaweza kufanya hata kiwe kidogo namna gani bila kuvurunda. Hili siyo jambo la ajabu.Watashikana sana uchawi
Duh..Ni kweli
Kuna mkono wa Makolo hapo 😂😂😂
Haya ni yale ya kina bruce lee na jet lee(china) ingekuwa pepkin za kina anorld soziniga(usa) mambo yakekuwa mswanoMbona magenereta ya wenzetu hayaharibiki hovyo kama yetu
AiseeNchi hii hakuna kitu viongozi wanaweza kufanya hata kiwe kidogo namna gani bila kuvurunda. Hili siyo jambo la ajabu.
Especially Chini ya samiaNchi hii hakuna kitu viongozi wanaweza kufanya hata kiwe kidogo namna gani bila kuvurunda. Hili siyo jambo la ajabu.
Mbona na huku kimanga umeme ulikatika Nani alaumiwe?