TANESCO: Hatuhusiki na kukatika umeme kwa Mkapa. Alaumiwe waziri wa Utamaduni na Michezo
AIBU KWA TAIFA.

CAF WALITOA WARNING YA KUFUNGIWA KWA UWANJA.

SISI MAMBO YA USIKU HATUWEZI.
ZAIDI YA KUZAGAMUANA.

KWANINI TUSICHEZE MCHANA?????.
Halafu Tanzania na Watanzania tukitukanwa na Watu wa Mataifa mengine tunachukia.

Mwaka 2013 Rais Kagame wa Rwanda aliwahi kumwambia aliyekuwa Rais wa Taifa Moja wakiwa Kikaoni nchini Ethiopia kuwa anaongoza Maiti tupu huku hata Yeye nae akiwa ni Maiti.

Nimemsahau huyo Kiongozi na Nchi.
 
Mpira wa usiku tuwaachie wazungu na nchi zilizoendelea sisi usiku tubaki kuzagamua na kuwanga tuu
Kama Akili tu hatuna tunaweza kusimamia Mambo makubwa na yanayohitaji Akili Kubwa na Tukuka?
 
Halafu Tanzania na Watanzania tukitukanwa na Watu wa Mataifa mengine tunachukia.

Mwaka 2013 Rais Kagame wa Rwanda aliwahi kumwambia aliyekuwa Rais wa Taifa Moja wakiwa Kikaoni nchini Ethiopia kuwa anaongoza Maiti tupu huku hata Yeye nae akiwa ni Maiti.

Nimemsahau huyo Kiongozi na Nchi.
We Mtusi umezidi Kila Kagame Kila kitu acha ushamba
 
Kitendo cha TANESCO kujieleza kwa umma in advance juu ya hitilafu za umeme uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mechi kati ya Yanga Vs Rivers United ni inaonesha kiasi gani taasisi zetu zinavyofaham kwamba jamii wanazichukuliaje.

Kama taasis zinajua jamii zimepoteza imani juu yao viongozi wanajifikiriaje? Hii ni moja ya taasisi nyingi muhimu zilizokosa kuaminiwa kiutendaji na jamii ya Watanzania.

Tatizo la taifa ni la uwanja wala sio nyinyi TANESCO ingawa tunajua mna mazinguzi yenu kausheni tuu wanetu,jana mlifanya wajibu wenu.

Mnaudhuruia mikutano ya kujadili mabadiliko ya tabia ya nchi huko mbele mbele na bado mnakomaa na ma hydroelectric power plants,mtakuja na projects za kutengeneza mvua majira ya kiangazi ili train za umeme na viwanda vifanye kazi.

Tulieni tuna mpango wa kuandaa AFCON sisi 2030 hapo.

Anyway Hongera zenu UTO for semi final.
 
Inashangaza sana. Wametoka shimoni na kelele nyingi kama vile kuna mahali watupiwa lawama wao kwa kukata umeme.

Ikiwa wanajua umeme unaotumika ni wa jenereta wao watoa Maelezo marefu ya nini
 
Back
Top Bottom