TANESCO: Hatuhusiki na kukatika umeme kwa Mkapa. Alaumiwe waziri wa Utamaduni na Michezo
TANESCO wameruka mbali tukio la kuzimika umeme Taif wakati MECHI ikiendelea. Taarifa Yao ina leta maswali yenye viashiria vya wizi kama ifuatavyo

1. Kwanini uwanja wa Taifa waliamua kutumia umeme wa jenereta badala ya umeme wa TANESCO?

2. TANESCO na Uwanja wa Taifa yote ni serikali, kwanini wanarushiana lawama?

3. Hii Hali mbona tulikuwa hatuisikii awamu iliyopita?

4. Fedha za mapato ya uwanja zinatumika kufanya KAZI gani?

5. Nani mtaalam wa ufundi? NI Watanzania au kuna kampuni ya kichina inalipwa kuwasha na kuzima jenerator?

6. Hakuna wanufaika nyuma ya hizi hujuma? Kwamba wanaonyesha kuna hitilafu ili walipwe au watengewe fedha au wapata njia ya kuanzisha mchakato wa kumpa MTU tenda?
Sheria za fifa zinataka nishat za uwanja ziwe za genereta na unapangiwa mpaka ukubwa wa genereta
 
Ma- Generator hayakuweka mafuta ya kutisha.... Inasikitisha sana...
 
Nape umemuona unayedhanigi ni rafiki yako?

Amekutupia zigo! Shauri yako
Wala hajamtupia zigo bali huo ndio ukweli lile tukio la mala ya kwanza lawama zote walitupiwa tanesco,kuwa line ya uwanja wa taifa ilikatika umeme!!leo imebidi waseme ukweli!!
 
Hivi Kweli Baba Mzazi anaweza Kumkana Mwanae na Kusema hakumzaa pale tu Mwanae akipatwa na Matatizo?

Sijawahi kuona Press Release ya Kijinga kuwahi kutolewa na Shirika lenye Wasomi Wengi kama la TANESCO.

Naomba aliyeiandaa arudi Shuleni.
 
Hivi Kweli Baba Mzazi anaweza Kumkana Mwanae na Kusema hakumzaa pale tu Mwanae akipatwa na Matatizo?

Sijawahi kuona Press Release ya Kijinga kuwahi kutolewa na Shirika lenye Wasomi Wengi kama la TANESCO.

Naomba aliyeiandaa arudi Shule.
Watu wamesimamishwa
 
Ndio shirika linalosimamiwa na January makamba Jr mkuu.
 
AIBU KWA TAIFA.

CAF WALITOA WARNING YA KUFUNGIWA KWA UWANJA.

SISI MAMBO YA USIKU HATUWEZI.
ZAIDI YA KUZAGAMUANA.

KWANINI TUSICHEZE MCHANA?????.
 
Mpira wa usiku tuwaachie wazungu na nchi zilizoendelea sisi usiku tubaki kuzagamua na kuwanga tuu
 
Back
Top Bottom