Kitendo cha TANESCO kujieleza kwa umma in advance juu ya hitilafu za umeme uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mechi kati ya Yanga Vs Rivers United ni inaonesha kiasi gani taasisi zetu zinavyofaham kwamba jamii wanazichukuliaje.
Kama taasis zinajua jamii zimepoteza imani juu yao viongozi wanajifikiriaje? Hii ni moja ya taasisi nyingi muhimu zilizokosa kuaminiwa kiutendaji na jamii ya Watanzania.
Tatizo la taifa ni la uwanja wala sio nyinyi TANESCO ingawa tunajua mna mazinguzi yenu kausheni tuu wanetu,jana mlifanya wajibu wenu.
Mnaudhuruia mikutano ya kujadili mabadiliko ya tabia ya nchi huko mbele mbele na bado mnakomaa na ma hydroelectric power plants,mtakuja na projects za kutengeneza mvua majira ya kiangazi ili train za umeme na viwanda vifanye kazi.
Tulieni tuna mpango wa kuandaa AFCON sisi 2030 hapo.
Anyway Hongera zenu UTO for semi final.