TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

Si waombe Tu msaada kwa wenye wataaam.yaani hitilafu kwenye Luku mnachukua cku nzima?mnajua athari yake kiuchumi?
 
Nchi ipo ya mikono ya wanyang'anyi
 
Bora wewe Leo Mimi tangu tarehe 6/12. Nimenunua umeme kupitia tigo pesa sijapata tokeni ,nimepiga tigo huduma Kwa wateja hadi nimechoka
 
Lete Maneno.....
Je Tatizo Limeisha Ama Tungoje Kesho Tena Tujaribu Bahati Yetu
Liishe wapi?watu wanaendelea kupata hasara tu.si unajua mbongo maisha yake ungaunga mwana.mimi najiuliza hvi hili tatizo halijawahi kutokea?mbona nakumbuka lilitokea muda flani.mbona tunaharibiana uchumi jamani.alafu daily mko maeneo YETU mnadai Kodi.
 
Muamala umesitishwa. Pesa zako zimerudishwa kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa ombi lako halijafanikiwa. Tafadhali jaribu tena baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…