ZVI ZAMIR
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 921
- 2,163
Asaiv wamerudisha natumaini umepata.Nimenunua sasa hivi ila token sijapata.
Nimeongea na tigo wanadai mtandao uko chini eti
Ila hakuna siku wamepata hasara(TANESCO) na wamesababisha hasara kubwa mno kwa wananchi(hadi huruma) kama leo..
Kuna haja kubwa mnoTANESCO wanatakiwa wajitafakari sana sana kwa upya .Hii hali ya leo kwa hakika imenitisha na imenihuzunisha kwa upana sana.
Nchi yangu Tanzania hakika unahitaji maombi mno..
Tunahitaji ufungulivu mkubwa sana wa kiroho na wa kimwili(mabadiliko yaliyo na tija ndani na mifumo ndani ya nchi) tukiendelea na utaratibu huu ni hatari sana.(wananchi hufikia wakati huchoka haijarishi ni kipindi gani na wakichoka inafahamika nini kitatokea) sio vizazi vyote vitakubali kuendelea kuishi katika taratibu hizi.