TANESCO kuzima Umeme siku 2 kwa saa 12 (Agosti 26 -28 2023), Mikoa 15 gizani

TANESCO itafute mbia kutoka nchi iliyo mbele au NCHI yenye tecs kubwa katika maswala ya Umeme hakuna jinsi..
 
Pira biliani la yanga tukilikosa tutarudi kwenye umbeya wa maaskofu tulishasahau mambo ya dp world, story ya mjini ilikuwa yao yao, nzengeli, pacome... yanga ndio amani ya nchi hii.
 
Umeme utakatwa usiku wa tarehe 26 kuamkia 27(1) na 27 kuuamkia 28(2), sasa hiyo ya tatu ni ipi! JF imekuwa ya hovyo kumejaa wajuaji.
 
Tumeanza kiangazi, mvua hazikuwa nyingi hivyo kupelekea mabwawa kuwa na upungufu wa maji. [emoji15][emoji15].

Bado tunaendelea na zoezi la usimamishaji wa nguzo imara za zege [emoji51].

Ujanja ujanja tu muda wote,
 
WAPEWE DP WORLD TUMEAMBIWA WANA UWEZO MKUBWA
Ni kweli huko UARABUNI umeme haukatiki hata kwa dakika moja maana kuna joto la kufa mtu πŸ˜…πŸ˜…
Bila shaka watakuwa na utaalamu mkubwa sana !!
 
TANESCO itafute mbia kutoka nchi iliyo mbele au NCHI yenye tecs kubwa katika maswala ya Umeme hakuna jinsi..
UARABUNI umeme huwa haukatiki kabisa !!
Bila shaka wana utaalamu mkubwa !!
Watu watasema πŸ™„ dipii wedi tena ??! πŸ˜…πŸ˜…πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…