Wewe umejawa upimbi mwingi, "siku mbili tu"? Kwamba ni sawa nchi kuwa gizani kwa siku mbili na wewe kwa ufahamu wako unaona "siku mbili tu" ni kawaida.Punguza utoto wako hapa nani kakwambia umeme wa Tanzania unategemea Maji? 75% ya umeme unategemea Gesi so kama hao unaowaita wahujumu umeme wangetaka kuleta mgao unaposema hapa wangeenda pasua mabomba ya gesi utatokea mgao wa miezi hata 6!! Ila eti wasifanye hivyo ila mgao wa siku mbili tu Tena wa kuunga Gridi ya Taifa ndio iwe hujuma?
JPM aliwaharibu ubongo nyie sio Bure
Tena sio siku 2 tu ....week ya 3 sahivi huku maeneo ya kimara umeme unakatika hata masaa 4 sio usiku sio mchana....yaan uyo ni pimbi pro maxWewe umejawa upimbi mwingi, "siku mbili tu"? Kwamba ni sawa nchi kuwa gizani kwa siku mbili na wewe kwa ufahamu wako unaona "siku mbili tu" ni kawaida.
Nchi ya wajinga sana hii.
Elewa hoja? Wao wanadai umeme wa siku mbili unakatwa Ili kuuza majenereta? Sasa inaingia akilini kweli? Yaani uzime umeme viwandani kwa siku mbili Ili tu uuze majenereta kwa siku mbili pekee?Wewe umejawa upimbi mwingi, "siku mbili tu"? Kwamba ni sawa nchi kuwa gizani kwa siku mbili na wewe kwa ufahamu wako unaona "siku mbili tu" ni kawaida.
Nchi ya wajinga sana hii.
Sio mihemko mnadhalilisha jukwaa kwa kuleta propaganda za yule shetani!! Yaani jenereta la million 1 ndio uzime umeme wa kiwanda kinachozalisha mabilioni? Hauko serious dogo, huo utoto pelekeni Facebook huko.Embu nitolee muhemko huko.. .bando langu usinipangie chakuandika
Kwamba kwa hii nchi hili haliwezekani? Unadhani watu wenye kuingiza kipato kupitia nishati ya umeme wanaishije kwa siku mbili?(kwanza sio siku mbili tu coz last week tumekaa siku nzima bila nishati)Mtu anaona heri kupoteza kiasi fulani akanunue generator as umeme ni wa magumashi.Elewa hoja? Wao wanadai umeme wa siku mbili unakatwa Ili kuuza majenereta? Sasa inaingia akilini kweli? Yaani uzime umeme viwandani kwa siku mbili Ili tu uuze majenereta kwa siku mbili pekee?
Na ukifika kazi yako iwe ni kujaza mimba wanawake wa kizungu tu, siku ya siku una watoto si chini ya ishirini ("20") tiketi tosha ya kulowea huko na kufia huko ila tu uwe makini watoto wasiwe mashoga ๐๐๐พUkipata nafasi ya kwenda mambele usirudi.
Mama piga kazi wananchi wanakukubalii
Siwezi kukulaumu akili zako ndio zimeishia hapo....nasisitiza usinipangie chakupost .....Rip magu tulikupenda sana....Sio mihemko mnadhalilisha jukwaa kwa kuleta propaganda za yule shetani!! Yaani jenereta la million 1 ndio uzime umeme wa kiwanda kinachozalisha mabilioni? Hauko serious dogo, huo utoto pelekeni Facebook huko.
Kwa hiyo kuna wale wa kamba ya genereta, halafu wa kamba ya mafuta ya petroli, dizeli na taa, kamba ya solar panels na vifaa vyake, kamba ya wizi kukiwa na giza, kamba ya uvivu kwa kisingizio cha kutokuwepo umeme, halafu kamba ya mzima mitambo mwenyewe sijui inahusu nini, spea au tenda!!Tumeambiwa Kila mtu ale urefu wa kamba yake.Tatizo linatengenezwa upigajiunafanyika.
Halafu ndio nchi inajigamba kuleta treni ya umeme,kila siku mgaoShirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023
Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi 12 Asubuhi huku Mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mbeya ikitarajiwa kuathirika
Mikoa mingine ni Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Shinyanga, Kilimanjaro, Simiyu, Tabora, Mwanza, Geita na Iringa
Vipi Mdau, umejiandaaje kukabiliana na Mgawo huo?
HujitambuiTanesco wanafeli Sana nadhani wangejitokeza competitors wengine ingekuwa poa
Huna tofauti na nguruwe jikeTunajua hizo ni ajenda za wenye fedha kuzima umeme ili wauze mafuta, majenereta kwa wingi...msije sema sikuwaambia ...zoezi hilo litakua ni endelevu kwa miezi isiojulikana.....RIP Magufuli enzi zako tulisahau giza