Tafadhali fika ofisi ya eneo lako utajaza fomu na kupatiwa maelekezoNaomba niungwe kwenye huduma ya kuookea taarifa ya matumizi na unit zilizotumika kupitiq simu namba 0655048302
Namba ya mita 43146855093
Ni 3 phase.
Maana hawa vijana wa kazi wananipiga sana
Andika barua kwenda kwa manager wa eneo lako utaambiwa ulipe kutokana na mita yako kisha utapatiwa kingineMkuuu kuna MTU alikuwa amekodi from ya biashara,,tatizo kaondoka na mile kiremite cha kuingizia umeme ukinunua,then anadai kimepotea,,nifanyeje nipate kama kile ili nitumie umeme?maana nimefungua biashara ila sins umeme kwa sasa
Tafadhali tunaomba maelezo zaidi namba ya simu na eneo unalotaka kuweka umeme linanumbali gani kutoka kwenye nguzoNipo singida, mimj nataka kuvuta umeme mteja mpya ila nazungushwa naambiwa service line haiwez kupita chini ya huu umeme wa hizi towers line mpya zenye malaki ya kilowatt zilizopita Singida kwenda Mwanza. Ssa naomba kujua nifanye nini ili niweze kupata mapema iwezekanavyo huduma ya umeme maana mawasiliano mmetukatia wenyewe kupitisha huu umeme wenu.
Mkoa: singida
Wilaya: Singida mjini
Mtaa: katakana
Kitongoji: Muhawa
Gharama kwa mita ya njia ya moja ni 321000 ndani ya mita 30 kutoka kwenye nguzo na kama unaongeza mita ya pili ya kwanza haipaswi kuwa na deniBwana Mkubwa Tanesco Je naweza kupata mita Kinondoni kwa sasa na utaratibu wake upoje na gharama tayari kuna mita ila nataka kutenganisha Mita kwenye nyumba ya Pili.
Noted mkuu,thanks.Gharama kwa mita ya njia ya moja ni 321000 ndani ya mita 30 kutoka kwenye nguzo na kama unaongeza mita ya pili ya kwanza haipaswi kuwa na deni