TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
denis fourplux,
Ndugu mpendwa mteja

Tafadhali toa taarifa ofisi ya eneo lako uchunguzi ufanyike ili chanzo kilichopelekea computer yako kuwa hivyo kijulikane na ufumbuzi upatikane,tunashukuru kama utatumia lugha nzuri iliyolenga kushirikiana na Shirika kutatua tatizo lako.

Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Tafadhali
 
nadhani wanahamisha vyombo vyao pale makao makuu ambapo panaenda kubomolewa wandugu.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Tafadhali Tanesco Tanga tufahamishe kama kuna mgao wa umeme mtupe na ratiba tujiandae kwa machungu.
Kukaa kimya ni machungu zaidi kuliko umeme wenyewe
 
Tafadhali Tanesco Tanga tufahamishe kama kuna mgao wa umeme mtupe na ratiba tujiandae kwa machungu.
Kukaa kimya ni machungu zaidi kuliko umeme wenyewe
Hakuna mgao wa umeme mpendwa mteja bali ni kulukuwa na kazi kwenye mtambo wetu mpendwa mteja
 
Hamna maana nimeisha waandikia wala hamjibu
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Hamna maana nimeisha waandikia wala hamjibu
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
....Inaonekana nchi imeingia kwenye mgao wa kimya kimya, why hamtanfazi??? Kwa hili la mgao tutamkumbuka sana prof Muhongo..
Tafadhali rejea taarifa tunazotoa kupitia kurasa zetu pamoja na vyombo vya habari
 
Mbeya mnakat umem mpk sasa hakun umem mniingiza hasara vifaranga Wang wamekufa kweli sabab ya barid aje tu mpizan kama TTCL
 
Kuna nguzo iliyoathirika na mvua hapa mbezi mwisho nyuma ya kwa Mpipi,ni baada tuu ya njia panda ya Maramba Mawili baada tuu ya bump mkabala na kanisa la KKKT.Nambiwa kuna wafanyakazi wa TANESCO waligika lakini hawajaonekana tena,nguzo inadondoka wakati wowote.
 
Kuna nguzo iliyoathirika na mvua hapa mbezi mwisho nyuma ya kwa Mpipi,ni baada tuu ya njia panda ya Maramba Mawili baada tuu ya bump mkabala na kanisa la KKKT.Nambiwa kuna wafanyakazi wa TANESCO waligika lakini hawajaonekana tena,nguzo inadondoka wakati wowote.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA TAARIFA...............

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Tunaenda wiki ya tatu hali ya umeme hapa mjini ikiendelea kuwa tete.

Umeme unakatika tangu asubuhi mpaka saa 12 jioni na siku inayofuata unakatwa saa 12 jioni hadi usiku wa manane. Maeneo yanayoathirika zaidi ni kata ya Kimandolu, Moshono na Moivaro.

TANESCO wamekuwa na mgawo mkubwa wa kimya kimya bila kueleza tatizo hili litapata ufumbuzi lini. Miezi miwili iliyopita TANESCO ilimaliza installation ya generator kubwa na ikatangazwa umeme kukatika Arusha itabaki kuwa historia kwani sasa tuna nyongeza hata ya kugawia mikoa mingine.

Wiki moja tu baada ya hilo tangazo umeme ulianza kukatika kwa visingizio vya kukata miti mara matengenezo mara itilafu kwenye gridi ya taifa nk. Hadi leo umeme hapa mjini sio relieble tena na ratiba haiwekwi wazi ili watu wajipange kukabiliana na hali hiyo.
 
Hii ni critical kwani Jumamosi ulikatika tangu asubuhi hadi jioni, Jumapili ukakatika na kurudi na kukatika, Jumatatu ukakatika tangia asubuhi hadi jioni , jumanne ukakatika tangu saa 12 jioni hadi usiku wa manane.

Watu wa Moshono na vitongoji vyake kazi zimekwama
 
Big up hali ni mbaya ya umeme kwenye vitongoji nafikiri ni gia ya kuja kuzima umeme wakati wa kuhesabu kura. Hii wameanzia mbali ili ionekane tatizo lilikuwepo before
 
Naomba niungwe kwenye huduma ya kuookea taarifa ya matumizi na unit zilizotumika kupitiq simu namba 0655048302

Namba ya mita 43146855093

Ni 3 phase.

Maana hawa vijana wa kazi wananipiga sana
 
Back
Top Bottom