TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
TANESCO this is too much jamani jana tangu asubuhi mpaka sasa hakukua na umeme... leo pia kuanzia asubuhi mpaka muda huu. hii nchi ya viwanda inakujaje kweli??? wenye biashara zinategemea umeme wanaishije kwa hii kata umeme?? mtu unasema weekend upumzike nyumbani ukiamka tu hakuna umeme.Last weekend ilikua hivyo pia.. achana na siku za katikati ya week ambayo kwa upande wangu nakua katika mihangaiko ya maisha

INAKERA SAAANA
Hii mumeambiwa ni hadi kesho. Kuna matengenezo makubwa yanafanyika. Pole sana.. Ndo natoka kuogelea sasa na nimekuta usharudi umeme. [emoji474][emoji474]
 
Hii mumeambiwa ni hadi kesho. Kuna matengenezo makubwa yanafanyika. Pole sana.. Ndo natoka kuogelea sasa na nimekuta usharudi umeme. [emoji474][emoji474]
Kwanini umeenda mwenyewe??

Nimechoka zaidi kukutana na hiyo habari kuwa tutalala giza Leo. hapa nilikua nahesabia kuwa Karibu unarudi.
 
Kwanini umeenda mwenyewe??

Nimechoka zaidi kukutana na hiyo habari kuwa tutalala giza Leo. hapa nilikua nahesabia kuwa Karibu unarudi.
Kwani bado haujarudi?. Angalizo, usijifanye fundi ukaanza chokonoa mita na kugusagusa waya. usikanyage Waya wala kusogelea nguzo zilizo anguka. Toa taarifa tanesco namba zipo hapo juu.

Simu ulizima ndo maana. Wkend ijayo usikose.
 
umerudi sasa.

simu haikua na chaji ndio maana
 
TANESCO kwanini mmekaidi agizo la Mh Waziri Kalemani kuhusiana na ukataji wa umeme Mtwara mjini? Mnautani na serikali ya awamu ya 5? Majibu sahihi tafadhali.
 
Hivi kwa nini TANESCO wameshindwa kutuwashia umeme wa uhakika huku Goba Kinzudi?kwa nini umeme hauna nguvu na hamtuongezei transformer?hivi Magufuli angekaa huku mngeacha low voltage hiyo?kweli? unatuharibia vifaa vyetu kwa kweli na tumewaomba hamtaki kutusaidia.

Na hivi mnabomolewa jengo si ndio hali itakuwa ngumu zaidi? Moderators please uzi huu uachwe ujadiliwe na tupate majibu
 
Mtumieni yule Mkuu wao anakurupuka labda atawasaidia maana amepewa pale lakini hana mipango kazi yake kukurupuka kufukuza watendaji badala kuja mkakati kupunguza hizo MW 300 zilizopungua alifikiriaa vyeo ni kuropoka kwenye media.....!! Anabebwaaa hata kujishikiliaa hawezi
 
Hivi kwa nini TANESCO wameshindwa kutuwashia umeme wa uhakika huku Goba Kinzudi?kwa nini umeme hauna nguvu na hamtuongezei transformer?hivi Magufuli angekaa huku mngeacha low voltage hiyo?kweli?unatuharibia vifaa vyetu kwa kweli na tumewaomba hamtaki kutusaidia. Na hivi mnabomolewa jengo si ndio hali itakuwa ngumu zaidi? Moderators please uzi huu uachwe ujadiliwe na tupate majibu
Makonda kabeba meli nzima yenye madaktari na vifaa kutoka china kaitua kichwani jana tu.

Anashindwaje kuwaletea umeme tena mdogo tu?
 
Naomba kuuliza, kuhusu maeneo ya Dar,kivule (Bombambili) kuna kipande karibu na mwisho zinapoishia daladala mmesimaisha nguzo tu na hakuna chochote kinachoendelea karibu mwaka sasa. Tatizo ni nini?
 
Naomba kuuliza, kuhusu maeneo ya Dar,kivule (Bombambili) kuna kipande karibu na mwisho zinapoishia daladala mmesimaisha nguzo tu na hakuna chochote kinachoendelea karibu mwaka sasa. Tatizo ni nini?

Tumelipokea mkuu,Ipo wilaya gani na namba yako ya simu
 
Hivi kwa nini TANESCO wameshindwa kutuwashia umeme wa uhakika huku Goba Kinzudi?kwa nini umeme hauna nguvu na hamtuongezei transformer?hivi Magufuli angekaa huku mngeacha low voltage hiyo?kweli?unatuharibia vifaa vyetu kwa kweli na tumewaomba hamtaki kutusaidia. Na hivi mnabomolewa jengo si ndio hali itakuwa ngumu zaidi? Moderators please uzi huu uachwe ujadiliwe na tupate majibu

Je mlitoa taarifa?mkapewa namba ya taarifa ngapi na namba yako ya simu
 
Back
Top Bottom