TANESCO,
Nawapongeza kwa ubunifu(creativity), tuliyoyaomba yanaonekana hata kama mtakuwa na matatizo lakini tusaidiane tujenge nchi.
Mimi nina ushauri na maswali yafuatayo:
1)Nashauri muweke
number ya simu ya WhatsApp kwa sababu mimi niko nje ya nchi lakini nikijibiwa kwa whatsApp ujumbe nitaupata na nyinyi ni gharama nafuu hata kwa muda wenu.
2)Mimi nikiwa nje ya nchi mita ya Luku iliharibika-eneo la Kijitonyama,mafundi wakashindwa kuitengeneza lakini baada ya week 2 nikapewa nyingine ikiwa kwenye jina la mteja mwingine, je
kuibadili kuna gharama?Na je naweza kupata mita ya luku mpya?maana hii tuliichukua lakini ilikuwa na tatizo la button moja.
3)Kwa mfano kwenye case mteja wenu kama alinunua nyumba ambayo kwa bahati mbaya muuzaji wa nyumba alimndanganya na hakumueleza kuwa TANESCO wanamdai umeme wa zaidi ya million 3.Je kuna utaratibu wa kumsaidia huyu mteja mpya kama ameshindwa kumpata huyo muuzaji na yeye anataka umeme?
Ahsanteni na kazi njema,
Rakey,
katabazi@hotmail.com