figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Hii mumeambiwa ni hadi kesho. Kuna matengenezo makubwa yanafanyika. Pole sana.. Ndo natoka kuogelea sasa na nimekuta usharudi umeme. [emoji474][emoji474]TANESCO this is too much jamani jana tangu asubuhi mpaka sasa hakukua na umeme... leo pia kuanzia asubuhi mpaka muda huu. hii nchi ya viwanda inakujaje kweli??? wenye biashara zinategemea umeme wanaishije kwa hii kata umeme?? mtu unasema weekend upumzike nyumbani ukiamka tu hakuna umeme.Last weekend ilikua hivyo pia.. achana na siku za katikati ya week ambayo kwa upande wangu nakua katika mihangaiko ya maisha
INAKERA SAAANA