Moshi ni kamji kadogo! Hata ukitumia injini ya Bajaji yangu unaweza kuzalisha umeme wa kulisha Moshi nzima.🙄

Mbaya zaidi wachaga walivyo wabahili, nyumba ya vyumba saba inawashwa taa moja na kativii huwa ni kale kadogo ka nchi kumi na saba! Kwa hiyo hakuna matumizi makubwa ya umeme.
 
Acha ukuda asee umeme unakatika balaa moshi
 
Big up hali ni mbaya ya umeme kwenye vitongoji nafikiri ni gia ya kuja kuzima umeme wakati wa kuhesabu kura. Hii wameanzia mbali ili ionekane tatizo lilikuwepo before
Mkuu pamoja na hali kuwa mbaya lakini nashindwa kukubaliana nawe kwa hili. Kwenye mambo ya ufundi hakuna siasa kama ni tatizo lipo linatakiwa litibiwe na si visa vyihusuvyo kura
 
TANESCO jitahidini kuboresha huduma, na vilevile jitahidini kuwaeleza wananchi kama kuna ishu yeyote badala ya kukaa kimya mpaka tunafikiri kuna mgao
 
Daah..
 
Nafikiri Iringa hasa iringa mjini ndo sehemu inayoongoza kuwa na uhakika wa umeme Tanzania...siyo kwamba huwa haukatiki la hasha....hukatika ila kwa nadra....hata migao ukiwa mkubwa tz kwa iringa huwa tofauti
 
Mimi natoka Moshi kibosho ndio kwetu acha kupamba ujinga alaf nimegundua ulitaka wana Chadema wakushangilie kwakuwa Moshi Chadema inatawala tumekustukia wewe ni mnafiki daily nampigia bi mkubwa hapatikani kisa umeme alaf unasifia ujinga
 
Hata bukoba hawana tatizo la umeme

Hujui business

Mikoa ambayo wananunua umeme kutoka grid za nchi jirani huwa haukatiki , pamoja na kwamba kule wanaponunua umeme unaweza kuta nchi zao zina shida ya umeme ila kwakuwa wanauza wanakuwa na priority kwa umeme wa ku export usikatike,

Ndo maana umeme wa kagera unaotokana na owen falls za uganda haukatiki lakin ukivuka ukaenda tu mtukula na kyotela upande wa uganda wanakuwa na shida ya umeme wakati wanaona nguzo kubwa za kupeleka Tz Umeme zikiwapita,

Hata uko msumbiji na Rwanda tunapouza umeme sisi tunaowapa haukatiki ila wa kwetu unakatika,


Logic kama mama anauza mandazi hawezi toa mazuri mazuri mnywee chai, atatoa masalia na kuwaheshimu wateja ,ila ninyi mnywee masalia, ili kuendelea kuvutia wateja,

Hivyo hata kwa moshi ni hivyo hivyo

Britanicca
 
Duh! Wachaga na ubahili wapi na wapi labda wapare
 
Ushawahi kaaa BUKOBA?
Nimesha mjibu


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…