Nahisi ni matengenezo tuDodoma umeme unakatika hovyo. Hakuna taarifa yeyote kuhusu kukatika huko kwa nishati hii muhimu. TANESCO mko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi ni matengenezo tuDodoma umeme unakatika hovyo. Hakuna taarifa yeyote kuhusu kukatika huko kwa nishati hii muhimu. TANESCO mko wapi?
Labda jirani na bwawa la Nyumba ya Mungu coz pale huzalishwa umeme pia.unaishi Moshi sehemu gani kwani?
Tanga hata leo tangu asubuhi kulikuwa hakuna umeme. Hope tatizo mmelimaliza.Hakuna mgao wa umeme mpendwa mteja bali ni kulukuwa na kazi kwenye mtambo wetu mpendwa mteja
Mkuu pamoja na hali kuwa mbaya lakini nashindwa kukubaliana nawe kwa hili. Kwenye mambo ya ufundi hakuna siasa kama ni tatizo lipo linatakiwa litibiwe na si visa vyihusuvyo kuraBig up hali ni mbaya ya umeme kwenye vitongoji nafikiri ni gia ya kuja kuzima umeme wakati wa kuhesabu kura. Hii wameanzia mbali ili ionekane tatizo lilikuwepo before
Daah..Moshi ni kamji kadogo! Hata ukitumia injini ya Bajaji yangu unaweza kuzalisha umeme wa kulisha Moshi nzima.🙄
Mbaya zaidi wachaga walivyo wabahili, nyumba ya vyumba saba inawashwa taa moja na kativii huwa ni kale kadogo ka nchi kumi na saba! Kwa hiyo hakuna matumizi makubwa ya umeme.
Duh! Wachaga na ubahili wapi na wapi labda wapareMoshi ni kamji kadogo! Hata ukitumia injini ya Bajaji yangu unaweza kuzalisha umeme wa kulisha Moshi nzima.🙄
Mbaya zaidi wachaga walivyo wabahili, nyumba ya vyumba saba inawashwa taa moja na kativii huwa ni kale kadogo ka nchi kumi na saba! Kwa hiyo hakuna matumizi makubwa ya umeme.
Ushawahi kaaa BUKOBA?Nafikiri Iringa hasa iringa mjini ndo sehemu inayoongoza kuwa na uhakika wa umeme Tanzania...siyo kwamba huwa haukatiki la hasha....hukatika ila kwa nadra....hata migao ukiwa mkubwa tz kwa iringa huwa tofauti
Nimesha mjibuUshawahi kaaa BUKOBA?
Hata bukoba hawana tatizo la umeme
Hujui business
Mikoa ambayo wananunua umeme kutoka grid za nchi jirani huwa haukatiki , pamoja na kwamba kule wanaponunua umeme unaweza kuta nchi zao zina shida ya umeme ila kwakuwa wanauza wanakuwa na priority kwa umeme wa ku export usikatike,
Ndo maana umeme wa kagera unaotokana na owen falls za uganda haukatiki lakin ukivuka ukaenda tu mtukula na kyotela upande wa uganda wanakuwa na shida ya umeme wakati wanaona nguzo kubwa za kupeleka Tz Umeme zikiwapita,
Hata uko msumbiji na Rwanda tunapouza umeme sisi tunaowapa haukatiki ila wa kwetu unakatika,
Logic kama mama anauza mandazi hawezi toa mazuri mazuri mnywee chai, atatoa masalia na kuwaheshimu wateja ,ila ninyi mnywee masalia, ili kuendelea kuvutia wateja,
Hivyo hata kwa moshi ni hivyo hivyo
Britanicca