Arusha eneo gani haswa na namba yako ya simuTunaomba kujua Tanesco mna tatizo gani kuna mgao wa umeme ambao ni hatari, kwetu wafanya biashara . Arusha tangu j.3 leo ni j5 umeme unakatwa Hasbuhi ,Unarudi jioni hali mbaya samaki zinaoza .vinyozi wanalia. Afu hakuna taarifa yoyote
Njiro yote hakuna umeme unawashwa jioni sa 12Arusha eneo gani haswa na namba yako ya simu
Mita 120 ni nguzi mbili unaweza kulipia ukafingiwa umeme mpendwa mtejaTANESCO
Hivi umeme huku vijijini mnausambaza mitaani lini??
Watu waliambiwa mwezi wa sita wakafanya wiring lakini hadi sasa kimya,,
Nipo umbali wa takribani mita 120 hiv kutoka mahali ambapo kumewashwa umeme,, ila hamtaki kabisa kutusogezea,, nini shida??
Babati Vijijini
Nguzo moja bei gani??Mita 120 ni nguzi mbili unaweza kulipia ukafingiwa umeme mpendwa mteja
I
Tumewachoka acheni excuse za kipuuzi, Jana huku tegeta mlikata hadiSHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA KWA WATEJA WALIOUNGWA KATIKA GRIDI YA TAIFA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa mnamo majira ya Saa moja na dakika mbili asubuhi imetokea hitilafu katika Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha Mikoa yote iliyo unganishwa katika Gridi kukosa umeme.
Jitihada zinaendelea kurejesha umeme kwa haraka na tutaendelea kutoa taarifa zaidi.
Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.facebook/tanescoyetultd /twitter.com/tanescoyetu
Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
30/11/2017
Kazi njema ya ccm yako PohambaPakitokea Vita Nchi Hii kuwalaza Watu Giza ni rahisi sana kwa wanaotumia gridi ya Taifa!
Wiki chache zilizopita Wire wa Getini Kidatu ulipata Hitilafu nusu ya Nchi I kaingia gizani
Ndio uzuri wa CCM!Kazi njema ya ccm yako Pohamba
Afadhali ya waziri Muhongo,yan Kariakoo umeme toka juz hakuna shida nn??Hakuna mgao wa umeme Mteja
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)Afadhali ya waziri Muhongo,yan Kariakoo umeme toka juz hakuna shida nn??
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)Ndio uzuri wa CCM!