TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Nchi imemshinda Mr Misifa, kila kitu anafanya siri...worse more anaficha moto wakati Moshi unaonekana !!!
 
Tunaomba kujua Tanesco mna tatizo gani kuna mgao wa umeme ambao ni hatari, kwetu wafanya biashara . Arusha tangu j.3 leo ni j5 umeme unakatwa Hasbuhi ,Unarudi jioni hali mbaya samaki zinaoza .vinyozi wanalia. Afu hakuna taarifa yoyote
Arusha eneo gani haswa na namba yako ya simu
 
Shirika la kipuuzi sana hili,naamini watanzania wengi wamelichoka ila tu hakuna mmbadala wake.

Ingekua kama mitandao ya simu tunajichagulia tunapopapenda wenda wangekua na akiri kidogo maana wanafanya uozo wao kwakua wanajua wapo pekeao ila ipo siku yao
 
Hakuna siku nilikwazika kama jana umeme ulikatika Bagamoyo kuanzia saa 4 asubuhi mpaka leo asubuhi saa 2 asubuhi.

Na bado haukurudi maeneo yote kwa maaeneo ya Kiromo umeme umerudi saa 11 : 30 jioni toka jana saa 4.
 
TANESCO
Hivi umeme huku vijijini mnausambaza mitaani lini?

Watu waliambiwa mwezi wa sita wakafanya wiring lakini hadi sasa kimya.

Nipo umbali wa takribani mita 120 hiv kutoka mahali ambapo kumewashwa umeme,, ila hamtaki kabisa kutusogezea,, nini shida??

Babati Vijijini
 
TANESCO
Hivi umeme huku vijijini mnausambaza mitaani lini??
Watu waliambiwa mwezi wa sita wakafanya wiring lakini hadi sasa kimya,,
Nipo umbali wa takribani mita 120 hiv kutoka mahali ambapo kumewashwa umeme,, ila hamtaki kabisa kutusogezea,, nini shida??

Babati Vijijini
Mita 120 ni nguzi mbili unaweza kulipia ukafingiwa umeme mpendwa mteja
I
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA KWA WATEJA WALIOUNGWA KATIKA GRIDI YA TAIFA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa mnamo majira ya Saa moja na dakika mbili asubuhi imetokea hitilafu katika Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha Mikoa yote iliyo unganishwa katika Gridi kukosa umeme.

Jitihada zinaendelea kurejesha umeme kwa haraka na tutaendelea kutoa taarifa zaidi.

Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka

Tovuti: www.tanesco.co.tz

Mitandao ya Kijamii
www.facebook/tanescoyetultd /twitter.com/tanescoyetu

Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu

30/11/2017
 
Tumewachoka acheni excuse za kipuuzi, Jana huku tegeta mlikata hadi
Jioni na leo mmekata tena alafu unadai tatizo limetokea SAA moja asubuhi, semeni mgao Wa umeme upo tatizo mnaogopa kutumbuliwa na yule mtakatifu mwenye kichwa kikubwa!
 
Habari zilizopatikana asubuhi hii ni kwamba Mikoa yote iliyounganishwa na Grid ya Taifa imekosa uneme kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye line hiyo mapema asubuhi ya Leo tarehe 30/11/2017.

Mafundi bado wanafuatilia kubaini tatizo lililosababisha hitilafu hiyo.

Chanzo: Clouds Radio
 
Pakitokea Vita Nchi Hii kuwalaza Watu Giza ni rahisi sana kwa wanaotumia gridi ya Taifa!

Wiki chache zilizopita Wire wa Getini Kidatu ulipata Hitilafu nusu ya Nchi I kaingia gizani
 
Kazi njema ya ccm yako Pohamba
 
Afadhali ya waziri Muhongo,yan Kariakoo umeme toka juz hakuna shida nn??
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA KWA WATEJA WALIOUNGWA KATIKA GRIDI YA TAIFA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa mnamo majira ya Saa moja na dakika mbili asubuhi imetokea hitilafu katika Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha Mikoa yote iliyo unganishwa katika Gridi kukosa umeme.

Jitihada zinaendelea kurejesha umeme kwa haraka na tutaendelea kutoa taarifa zaidi.

Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka

Tovuti: www.tanesco.co.tz

Mitandao ya Kijamii
www.facebook/tanescoyetultd /twitter.com/tanescoyetu

Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu

30/11/2017
 
Ndio uzuri wa CCM!

Back
Top Bottom