Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu za kuanzisha kampuni ya umeme ni zipi?
Enzi zake ni kweli umeme haukukatika kama sasa. Au unasemaje.Waziri muongo alisema kukatika umeme itakuwa historia . CCM imechokwa nchi nzima.sijuwi hawa wanaokichagua hiki chama wanatumia tochi au vibatari?
kwahiyo kaa ulikatika basi uendelee kukatika. ccm akili zenu mnazijuwa wenyeweEnzi zake ni kweli umeme haukukatika kama sasa. Au unasemaje.
Nimejibu tuhuma dhidi ya muhongo. Uwe na akili kidogo basi.kwahiyo kaa ulikatika basi uendelee kukatika. ccm akili zenu mnazijuwa wenyewe
Acha kusingizia watu jinga weweJPM bado amezungukwa na watu wasiowajibika,wanaojificha nyuma ya mgongo wa chama
tuhuma zipi?Nimejibu tuhuma dhidi ya muhongo. Uwe na akili kidogo basi.
Unazungumzia kitu ambacho hata kuanza hakijaaanza? Naona siku hizi hatuzungumzii gesi tena tumehamia stiglers gorgeMAHANJU
Unapoandika jitahidi kufanya uchambuzi wa mambo unayoandika. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa? Tatizo vijana wa chadema kutamani jambo fulani litokee kama ndoto bila kuwekeza jitihada kufikia hiyo ndoto.
Nimesikia wanaukusanya na kuuhifadhi ili siku ya kuzindua treni ya umeme usije kukatika maana serikali yote kuanzia sizo mwenyewe itasafiri kwa treni kwenda mwanza na kurudi... So wanaapply ile formula ya "akiba haiozi" TANESCO
CCM taifa hili limewashida hakuna jipya zaidi ya kuudanganya umma kua mnapendwa, nakumbuka wakati mnaingia madarakani 2015 mlisena kua matatizo sugu kama ya Umeme yatakua historia kwa uwepo wa basi kutoka Mtwara. Sasahihi ni mgao wa Umeme kimya kimya nchi nzima bila hata taarifa tofauti na zamani. Mnaogopa nini kuutangazia umma kua kuna mgao wa Umeme? Mnajua mnawaathiri vipi wananchi na biashara zao? Si bora mtu awe na raarifa ili aweke Sola au jrnereta kabisa kuliko usanii huu?
Mliingia kwa mbwembwe mkatimua Mkurugenzi mkuu wa TANESCO kwa madai kua anahujumu shirika, leo hii yapata miaka miwili serikali ya awamu ya 5 iko madarakani lakini matatizo ya Umeme yako pale pale, usanii mtupu. Mnashindwa nini kusema kua hali ni tete mkaeleweka? Kwanini mtaabishe wafanya biashara bila sababu hata hatuelewi nini kinaendelea.
Niulize, hayo mambo makubwa yanayofanywa ni yapi? Kufuta elfu 20 za ada za sekondari? Mambo makubwa ni kunyanyasa watumishi wa umma ambao hawapati stahiki zao kwa hadaa za nyongeza kiduchu cha mishahara?
Naamini, bila CCM kuondoka madarakani wananchi wataendelea kuteseka maisha yao yote huku wachache wakiendelea kuneemeka maisha yao yote.
MAHANJU
Unapoandika jitahidi kufanya uchambuzi wa mambo unayoandika. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa? Tatizo vijana wa chadema kutamani jambo fulani litokee kama ndoto bila kuwekeza jitihada kufikia hiyo ndoto.
bora ww tangu jana,nmekuja moro town zaidi ya mwezi sasa kil CKU LAZIMA UMEME UKATIKEUmeme hakuna tangu Jana ....
Alafu wenyewe wanasema nchi ya viwanda
Ova
JITIHADA MBN ZIPO MIAKA YOTE? AU WW NDO UNAONA MWAKA HUU PEKE YAKE KWAMBA JITIHADA ZNAFANYIKA?MAHANJU
Unapoandika jitahidi kufanya uchambuzi wa mambo unayoandika. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa? Tatizo vijana wa chadema kutamani jambo fulani litokee kama ndoto bila kuwekeza jitihada kufikia hiyo ndoto.
Huo mradi upo toka miaka ya 1980s! CCM imeshafail big time!. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa?.