kwenye mada kama hizi nchi nzima giza saa hizi zile ng'ombe za lumumba huwezi kuziona wanasoma na kupita kimya kimya.
 
Waziri muongo alisema kukatika umeme itakuwa historia . CCM imechokwa nchi nzima.sijuwi hawa wanaokichagua hiki chama wanatumia tochi au vibatari?
Enzi zake ni kweli umeme haukukatika kama sasa. Au unasemaje.
 
amfukuze huyo mkurugenzi aliyemteua badala ya mramba maana alimfukuza mramba kwa chuki tu na roho mbaya.
 

Pale aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco Bwana Mramba anaposikia Tanzania imerudi Gizani kwa speed ya Bombadia..
 
Unazungumzia kitu ambacho hata kuanza hakijaaanza? Naona siku hizi hatuzungumzii gesi tena tumehamia stiglers gorge
 
Nimesikia wanaukusanya na kuuhifadhi ili siku ya kuzindua treni ya umeme usije kukatika maana serikali yote kuanzia sizo mwenyewe itasafiri kwa treni kwenda mwanza na kurudi... So wanaapply ile formula ya "akiba haiozi" TANESCO

jamani nimecheka kwa nguvu mnooo haaaaaaaaaaa
 
Aahh mbona sioni cha maan ulicho andika TATIZO haliishi siku moja bro
 
Ccm = porojo tupu, hakuna kitu.
 

Duuh kweli nimepitwa na mengi. huu mradi ndio nausikia kwako aisee
 
JITIHADA MBN ZIPO MIAKA YOTE? AU WW NDO UNAONA MWAKA HUU PEKE YAKE KWAMBA JITIHADA ZNAFANYIKA?
 
. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa?.
Huo mradi upo toka miaka ya 1980s! CCM imeshafail big time!

Btw, ni “unadhani” na siyo “unazani”, ewe zombie la CCM!
 
tanzania ya kamari sasa hivi kila chombo cha bahari ni tatu mzuka na biko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…