0658254888Asante kwa Taarifa Mkuu Tanesco.
Jitahidini hivi hivi inapendeza
Umeme umerejea kama kwako badomtunaomba namba yakomya simu
Huku dar toka tanesco walipoamriwa kulivunja jengo lao la ubungo basi imekuwa kama kisasi kila siku wanakata umeme, nadhani wanalipiza kisasi kwa mh. Raisi, kwa hiyo wakutumbuliwa hapa sijui awe nani
Kuanzia mwaka huu kukatika umeme tz itakua historia, yaani itakua tunasoma kwenye vtabu tu hautakuepo
wamwombe radhi "Confehesemi mramba"anayetakiwa kutumbuliwa ni medard kalemani,jamaa alimtoa kwenye madini akamuundia wizara yake kumuepusha na balaa kwa kuwa aliwahi kuwa mwanaasheria wa nishati na madini,na anahusika kwa namna moja au nyingine kwenye mikataba,alikompeleka ndio balaa sasa
pia tanesco hujiendesha kwa ruzuku,maapato ya serikali yameshuka,haiwezi kuiwezesha tanesco,
pia ni mwana mpendwa mbunge wa chato,atamtumbuaje?sana sana watawavamia wakuu wa tanesco na kuwadhalilisha kwa kuwatumbua
wao wamelenga kupiga dili stiglers,wanasahau kwamba nishati ni suala tata
Tanzania ya viwanda kwa umeme wa mawazo namna hii inawezekana kweli???Si kwa ukataji huu wa umeme.. This is too much.
Mnavuruga ratiba zetu nyingi wajameni!
We kama ni kishoka bila shaka picha yako imebandikwa tanescoMitambo yetu inamifumo ya kujilinda yenyewe mara hitilafu itokeavyo..
Kuanzia leo tareh 1 tunaongeza 30mw kny grid kuu kisha January tunaongeza 30mw.....hivyo kama kwenu hakuna umeme kaangalieni cutout zenu.
kidumu chama cha mapinduzi. huenda ni hujuma inafanywa na Chadema, lissu lema mbowe, toa maoni yakoHuku Mbezi beach washakata tayari!!
Jana usiku pia walikata kuanzia saa 12 jioni hadi kwenye saa saba usiku.
Leo hii wamekata mapema...saa nne kasoro tu!
Eff them.