weka simu chaji haraka sana mkuu, wana tabia ya kuonjesha umeme ukijisahau tu wanachukua umeme wao.

Hahaaa wakati wanakata hii mara ya pili simu ilikuwa kwenye chaji!

Ila ulipokatika tena tu nikaichomoa maana usije ukarudi tena halafu ukaniharibia simu yangu bure.

Majinga sana haya mamtu.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimecheka km mazuri
Hata Babati ( Manyara ) wamekata toka saa 4 asubuhi na haueleweki mara urudi mara ukatike ni taflani.
Viwanda bila umeme naona inawezekana.
.....
....poleni Mkuu ndo maviwanda
 
Tumesema maranyingi hapa. Tofauti ya awamu ya nne na tano ni moja. Awamu ya nne madhaifu yaliwekwa wazi wakati awamu ya tano madhaifu yanafichwa kwa nguvu zote ikiwemo kutumia vyombo vya dola na watu wasiojulikana, hakuna tofauti nyingine
 
Nimeamka alfajiri nimekuta tanesco washafanya yao,ikabidi nitumie tochi kujiandaa. Mpaka sasa umeme hakuna labda watarudisha jioni.

Pia kuna tabia tanesco kunakua kama kuna mtu anachezea switch (zima, washa, zima, washa) watakuja kutuunguzia vitu bure.
 
Kusema kweli wanatuumiza sana na huu mgao wao usiokuwa na taarifa.
 
NYIE SI NDIO MLIMCHAGUA, KUMBE NA NYIE MNAKUMBWA NA MGAO, AU ANAWAKUMBUKA KWENYE BOMOA BOMOA TU
 
......
.....tuko bize na MAKIKI
 
Naombeni mtangaze kuna mgao na sio kuzuga kuna matengeneszo,toka jana umeme unakatika asubuhi unarud usiku wa manane,kwanini mnatufanyia hivyo
 
Sisiyemu yote tena mzee wa chattle alisema mgao wa umeme utakua historia kwe uongozi wake
 
Inawezekana usemacho ni kweli kwanini wasitoe taarifa?
Na hili tatizo mbona hii ni wiki ya pili umeme una katikakatika hovyo??
Kama jana uliangalia taarifa ya habari ITV usiku saa mbili
nadhani ulimwona mkurugenzi wa TANESCO akilitolea ufafanuzi
na kuwaomba watanzania radhi.
Kwa leo mkuu ni mapema mno kutoa taarifa
sababu umeme unawaka mara moja na kukatika
ni mara moja. Hivyo ni vema kuwa na subira kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…